Saturday, November 8, 2008

UPENDO KUTOKA AFRIKA

2 comments:

Anonymous said...

Jana nilipokea barua kutoka rafiki wangu mji wa Cape Town. Jina lake ni Jill na nilikaa nyumbani yake katika elfu mbili na sita wakati wa mifunguo ya baridi. Jill aliandika anajisikia furaha kwa sababu nitarudi Cape Town mwezi wa Mei na nitakaa na yeye. Nitaandika Jill baada ya nitaisha muhula. Nitalipa burua yangu kutosha wakati.

Priya said...

Nina picha kama hii lakini iko "fridge magnet" na ina sema kuwa kuna mtu ambaye ananipenda kutoka Kenya. Rafiki yangu alinipatia kama zawadi nilipokuwa hapa Marekani.