Thursday, November 20, 2008

KANGA KUSHEREHEKEA USHINDI WA OBAMA
















































Kanga hizi zinasemaje? Umezipenda?

3 comments:

Anonymous said...

Ninajisikia furaha kwa sababu ninafikiri Barack Obama atakuwa rais nzuri sana na atabadilika nchi yetu na atajaza nchi na upenzi.

Priya said...

Ninaamini kuwa dunia nzima ina furaha juu ya uchaguzi wa Rais Barack Obama kwasababu watu wote duniani wanaamini kuwa yeye ni mtu moja ambaye atabadilisha uchumi ya Marekani.

Emusaint said...

Kanga hizi ni pengine tu wa watalii. Obama anasema vizuri na msemaji sana na mwanasiasa. Ninafikiri watu wengi duniani wanampenda. Hiki ni muhumi sasa kwa sababu cha globalization. Ningesafiri Afrika ya Mashariki mimi takriban ninainunulia.
-Hugh