Wednesday, April 13, 2011

KUHUSU MRADI NA MTIHANI WA MWISHO

  • Miradi ya mihula iletwe darasani siku ya mwisho wa darasa (20/4/2011)
  • Mtihani wa mwisho utatolewa darasani siku ya mwisho (20/4/2011) na utatakiwa kuletwa ofisini kwangu Alhamis tarehe 28/4/2011.

Wednesday, April 6, 2011

Monday, April 4, 2011

LEO NI TAREHE 4/4/2011 - ZUNGUMZENI JUU YA MASWALI HAYA

Important

Remain in the classroom. Discuss the questions below in two groups. Towards the end of the class, spare about 10 minutes and write your answers as comments on this post. The answers don't have to be too long. I just want to see what you think. Please, write your names.

*****************
Shida Sura ya Nne
  • Sefu anakutana na Shida katika baa ya Starehe (ukurasa wa 62 aya ya mwisho). Shida alikuwa anafanya kazi gani? Unaipenda kazi yake. Kwa nini? = Jibu swali hili.
  • Sefu na Shida walisameheana na kuendelea na mapenzi yao. Sasa Jifanye (Now pretend). Kama wewe ungekuwa Sefu ungefanyeje? Ungemsamehe Shida? = Jibu swali hili.
  • Shida anapata mimba (ukurasa wa 63 aya ya mwisho) na anahamia kwa Sefu (ukurasa wa 64 aya ya pili na kuendelea)
  • Sefu anaanza kufanya kazi mpya (ukurasa wa 66 aya ya nne …Lala masikini, amka tajiri…. Soma mpaka mwisho wa sura). Ni kazi gani? Unaipenda? = Jibu swali hili.
  •  Andika ufupisho wa sura hii kwa kutumia maneno yako mwenyewe. = Jibu swali hili (kama kuna muda)

GARI LINASAFIRISHA NDIZI - UNAWEZA KUSEMA CHO CHOTE ???