Wednesday, March 25, 2009

CHEMSHABONGO YA MWISHO - KESHO ALHAMISI TAREHE 26/3/2009

(1) Ufahamu na Insha: Someni na mfahamu kila kitu kuhusu sura ya kwanza na ya pili ya Ndoto ya Amerika. Kutakuwa na maswali mafupi ya insha kuhusu sura hizo mbili.

(2) Msamiati: Ni lazima mfahamu msamiati wote wa sehemu ambazo tumesoma na kutafsiri darasani. Utaweza kuulizwa kutafsiri, kutumia maneno ya msamiati katika sentensi au kuoanisha.

(3) Sarufi - Ni lazima ufahamu -have/has been, used to (past habitual) na past continuous tense (we were eating...) n.k.

(4) Misemo - mfano - una wazimu? Umerogwa? n.k.