Sunday, November 9, 2008

CHEMSHABONGO NAMBA TATU (KUFANYIA NYUMBANI)

(1) Tazama video ya MUME BWEGE (Stupid husband) hapo chini na soma maneno ya wimbo (lyrics) halafu jibu maswali (1) na (3). Majibu yako ni lazima yawe katika insha.

(2) Kuna chakula cho chote unachokipenda? Andika mahitaji ya chakula hicho na kinavyopikwa. Andika kila kitu ambacho unataka watu wengine wafahamu kuhusu chakula chako.

(3) Andika sentensi kumi ndefu ukitumia relative markers katika tense zifuatazo. Sentensi moja katika kila "tense" ni lazima iwe katika ukanushi (negative)

-na-
-li-
-ta-
-me-
-mesha-
hu-

1 comment:

Robert Shelton said...

Chakula nikipendacho ni nyama ya n'gombe na mchicha.

Ili kupika chakula hiki kuwatosha watu wawilli, ni lazima kuwa na :

Siagi vijiko viwilli
Mchicha poundi robo
Chumvi ya kutosha
Nyama ya n'gombe poundi moja
Viungo vinavyoitwa "Montreal Steak Spice"

Kinvyopikwa:
Weka viungo katika nyama

Pika nyama ya n'gombe katika grill kwa dakika kumi au hadi ni nyekundu. (Usikipenda nyama nyekunda, upike kwa muda zaidi)

Baada ya nyama ilipikwa, weka mchicha katika sufuria kubwa.

Weka vijiko villi cha siagi katika mchicha . Halafu chumvi.

Pika mchicha kwa dakika tano, ukichanganya.