Thursday, November 20, 2008

MARAISI WA MAREKANI














Ni raisi yupi unayempenda sana? Kwa nini? Yupi humpendi? Kwa nini humpendi? Yeye alifanya nini?

KANGA KUSHEREHEKEA USHINDI WA OBAMA
















































Kanga hizi zinasemaje? Umezipenda?

Monday, November 10, 2008

RATIBA YA KUWASILISHA MADA DARASANI

Tafuta mada yo yote kutoka katika magazeti, redio au kutoka sehemu yo yote na uwasilishe darasani kwa muda wa dakika tano hadi kumi. Tafadhali usisome na jaribu sana kutumia maneno yako mwenyewe.

WIKI YA 12

Novemba 10- JOY

Novemba 12 - ASHLEY

Novemba 14 - TIM


WIKI YA 13

Novemba 17 - LAURA

Novemba 19 - ALISON

Novemba 21 - CECILIA


WIKI YA 14
Novemba 24 - KYLIE

WIKI YA 15
Desemba 3 - PRIYA
Desemba 5 - KELLEY

Sunday, November 9, 2008

CHEMSHABONGO NAMBA TATU (KUFANYIA NYUMBANI)

(1) Tazama video ya MUME BWEGE (Stupid husband) hapo chini na soma maneno ya wimbo (lyrics) halafu jibu maswali (1) na (3). Majibu yako ni lazima yawe katika insha.

(2) Kuna chakula cho chote unachokipenda? Andika mahitaji ya chakula hicho na kinavyopikwa. Andika kila kitu ambacho unataka watu wengine wafahamu kuhusu chakula chako.

(3) Andika sentensi kumi ndefu ukitumia relative markers katika tense zifuatazo. Sentensi moja katika kila "tense" ni lazima iwe katika ukanushi (negative)

-na-
-li-
-ta-
-me-
-mesha-
hu-

MENU KATIKA MKAHAWA WA "SHERATON"



















SWALI:
Kuna chakula cho chote ambacho unaweza kula katika mkahawa huu wa "Sheraton"? Andika mazungumzo mafupi kati yako na mhudumu kuhusu jinsi utakavyohudumiwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Thursday, November 6, 2008

WAUZAJI WADOGO WADOGO

Wauzaji hawa wadogowadogo wanauza nini? Kuna cho chote unachotaka kununua? Andika mazungumzo yako na muuzaji mmoja. Usisahau kuomba kupunguziwa bei.






MAGAZETI YA TANZANIA NA USHINDI WA OBAMA