Wednesday, November 12, 2008

MTOTO CHOKORAA (OMBAOMBA) JIJINI HARARE ZIMBABWE

7 comments:

Anonymous said...

Ninajisikia huzini ninapowaza watu wa Zimbabwe kwa sababu kuna mgogoro kisiasa.

Anonymous said...

Sipendi Robert Mugabe kwa sababu ameharibu nchi ambayo ilifanikiwa. Sasa Zimbabwe imenjaa na inmechanganyikiwa. Mugabe ananjaa kwa nguvu ijapokuwa watu wa Zimbabwe wanafariki na wanagura.

Anonymous said...

Simpendi Robert Mugabe kwa sababu ameharibu nchi ambayo ilifanikiwa. Mugabe ni kiongozi kibaya. Sasa watu wa Zimbabwe wanajisikia njaa na wamechanganyikiwa. Mugabe anapenda nguvu ijapokuwa watu wa Zimbabwe wanafariki na wanagura. “Gura” ni “migrate.”

Anonymous said...

Kiangazi kilichopita nilitembelea Zimbabwe kwa siku moja. Mimi na rafiki tatu tulienda Victoria Falls. Ilikuwa nzuri sana na nilipiga picha nyingi. Dereva wetu alituchukua sokoni la sanaa. Nilijisikia huzuni kwa sababu watu wengi kule walikuwa maskini sana na hawakuweza kununua mahitaji yao kwa sababu bei za vitu vingi vimepanda laikini thamani ya dola ya Zimbabwe imepunguza. Mtu mmoja alinipa ZWD 175,000 kwa sababu aliniambia hakuweza kununua chochote.

Kylie said...

Hali ya Zimbabwe ni mbaya kwa sababu utawala. Mtoto chokoraa huyu ana pesa nyingi lakini si takaramu nyingi. Watu wengi kama mtoto huyo ni maskini katika nchini humo. Sasa watu wa Zimbabwe wamefariki kwa sababu Cholera. Wakati utawala wa Rais Mugabe wajikatia, hali ya Zimbabwe utaweza kuendeleza.

Anonymous said...

Hali ya Zimbabwe ni mbaya kwa sababu utawala. Mtoto chokoraa huyu ana pesa nyingi lakini si takaramu nyingi. Watu wengi kama mtoto huyo ni maskini katika nchini humo. Sasa watu wa Zimbabwe wamefariki kwa sababu Cholera. Wakati utawala wa Rais Mugabe wajikatia, hali ya Zimbabwe utaweza kuendeleza.

Cecilia said...

Katika nchini ya Zimbabwe, uvimbe umefika mia mbili thelathini moja milioni asimilia (231,000,000%). Mwaka ujao, nusu umma wa Wazimbabwe watahitaji huduma ya chakula. Watu takriban maelfu moja walikufa kwa mlipuko wa kipindukipindu. Kipindupindu inaendelea kueneza Zimbabwe pote, na imeingia Afrika Kusini. Kisirani cha utumishi wa afya kimekuwa mlipuko wa kipindupindu vibaya sana. Madaktari na wauguzi walipinga mfumo wa afya na Zimbabwe. Baraza la Afrika Kusini linadai, “Ubishi wa serikali unaweza kuhalisisha uchungu wa Wazimbabwe. Wazimbabwe ni wateswa na serikali wao.” Ni hali yenye huzuni. Zimbabwe iliitwa kikapu cha mkate cha Afrika, lakini serikali ya siasa imeipunguza nchi maskini kwa mashaka mengi.