Sunday, November 9, 2008

MENU KATIKA MKAHAWA WA "SHERATON"



















SWALI:
Kuna chakula cho chote ambacho unaweza kula katika mkahawa huu wa "Sheraton"? Andika mazungumzo mafupi kati yako na mhudumu kuhusu jinsi utakavyohudumiwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

1 comment:

Anonymous said...

Ninataka ugali na nyama. Nilipoenda katika Afrika ya Kusini nilikula 'pop'. Pop ni kama ugali lakini ukuwa na jina tofauti. Nilikula pop na nyama na viazi na mahindi na maharagi. Ningependa kula pop au ugali sasa!