Thursday, November 20, 2008

MARAISI WA MAREKANI














Ni raisi yupi unayempenda sana? Kwa nini? Yupi humpendi? Kwa nini humpendi? Yeye alifanya nini?

5 comments:

Anonymous said...

Ninampenda FDR kwa sababu yeye alisaidia nchi yangu wakati wa mfadhaiko mkubwa.

Anonymous said...

Ninampenda FDR kwa sababu yeye alisaidia nchi yangu wakati wa mfadhaiko mkubwa. Sipendi Richard Nixon kwa sababu alidanganya kwa wamerekani. Ninatumaini Barack Obama atakuwa raisi mzuri. Nchi hii inahitaji raisi ambaye ana akili. Ninadhani Obama ana akili.

Anonymous said...

Sijui rais gani ninampenda. Rais wa Marekani ninakumbuka ni rais Clinton na rais Bush. Wao ni tofauti sana. Rais Clinton ni Democrat na Rais Bush ni Republican. Sipendi rais Bush kwa sababu yeye anawasaidia tajiri lakini hasaidii maskini.
-Traci

Anonymous said...

Ninampenda raisi Abraham Lincoln. Civil War iliishwa kwa sababu Lincoln. Kwa hivyo watu wa weusi walipatiwa haki. Kwa bahati mbaya raisi Lincoln aliuawa kwa sababu alikuwa mtu mzuri. Mimi ninakubali na Laura kuwa Richard Nixon ni raisi linayonipenda. Sipendi raisi Nixon kwa sababu alishirikishwa na Watergate Scandal.
-Kylie

Anonymous said...

Ninampenda JFK sana. Alisaidia kupatia haki za watu weusi. John F Kennedy alikuwa rais mzuri mpaka aliuawa kwa Oswald. Simpendi Clinton kwa sababu ninafikiri aliua uchumi wetu.
-joy