Tuesday, October 21, 2008

WAUZAJI WADOGO WADOGO

Huyu kijana anauza nini? Unataka kununua anachokiuza? Andika mazungumzo (dialogue) jinsi utakavyomuomba akupunguzie bei.

1 comment:

Anonymous said...

Picha hii ni kamba kubwa sana sana. Nisingependa kula kamba. Ninapenda chakula kwa bahari, lakini sipendi kamba. Kamba hii inaelekea kama kwamba itauma kijana. Ningetaka kuuza kamba pia kama nimekuwa kijana hiki.