Tuesday, October 21, 2008

SOMO LA NNE - KUUZA NA KUNUNUA

(1) Someni habari za Sarufi (uk. 69-70)

(2) Someni mazungumzo ya pili na hakikisheni kwamba mnafahamu maneno yaliyokolezwa (bolded). Mkazo (attention) pia ni katika vitenzi ambatano (compound verbs) m.f. -tunataka atuambie, tunataka kwenda, tutakuona utakapokuja, tulimwona alipokinunua, nilikuna ninakula n.k.

(3) Ni lazima msome mazoezi ya UTAMADUNI (uk. 77)

(4) Ni lazima mfahamu jinsi ya kununua vitu kwa wauzaji wadogo wadogo na jinsi ya kuomba punguzo la bei.

No comments: