Tuesday, October 21, 2008

MASHINDANO YA UREMBO




















SWALI: Taja rangi za blauzi na sketi ya mshiriki huyu wa mashindano ya urembo. Hizo ni rangi za bendera ya taifa ya Tanzania. Bendera ya Marekani ina rangi ngapi? Unafahamu maana yake?

1 comment:

Anonymous said...

Blauzi na sketi hii ina rangi ya manjano, bluu na nyeusi. Bendera ya Marekani ina rangi nyekundu, bluu na nyeupe. Rangi nyekundu inamaanisha damu ambayo ilimwagwa kupigania uhuru wa Marekani. Rangi ya bluu inamaanisha haki. Pia, rangi nyeupe inamaanisha usafi na utakato. Kuna nyota hamsini katika bendera, kwa kila jimbo.
-Joy