Tuesday, October 21, 2008

SOMO LA TANO - ELIMU

(1) SARUFI (uk 83 - 85)

(2) Jiandae kuzungumza juu ya zoezi la tatu (uk 85)

(3) Fanya zoezi la saba (uk 89)

(4) Soma na uelewe ufahamu (uk 88-89). Ni lazima ufahamu vizuri maneno yaliyokolezwa wino (bolded)

(5) Unaipenda elimu ya jadi ya Kiafrika? Kwa nini?

Chakubanga
Mume wangu Chakubanga ! Leo nimekupikia chakula bora, ukwaju na mapapai kwa mtindo wa kisasa. Kaongeze ndimu na malimau redio imesema !

- Chakubanga my husband ! today I've cooked for you new cuisine : tamarind and papaya of the day. Add some lemons and limes, they said in the radio !

1 comment:

Anonymous said...

Mchoro huu unanifikirisha kuhusu kitabu nilichokisoma katika darasa la anthropologia ya Afrika ya kisasa. Kinaitwa "Women's Voices, Women's Power", na kitabu ni kuhusu wanawake wanavyofanya kazi katika nchi ya Kenya. Wanawake wa kitabu huipikia chakula jamaa yao, huwafulia nguo, hulima mashamba, huwalea watoto, na kadhalika. Mara kwa mara wanafanya kazi nyingine kupata pesa kwa sababu waume wao hawapati pesa za kutosha kulipia mahitaji yao.
-Kelley Williams