Thursday, October 2, 2008

KAZI YA KESHO IJUMAA (10/3/2008)

Hatutakuwa na darasa kesho (10/3/08). Baada ya kupitia maneno haya chini, jaribu kutoa maelekezo (directions) kutoka chuo kikuu cha Florida mpaka nyumbani kwako. Tutazungumza juu ya "directions" Jumatatu. Jaribu kueleza kila kitu

(1) Pande nane za dunia (Kaskazini, Kusini, Mashariki, Magharibi, Kaskazini Mashariki n.k.)

(2) Kushoto, kulia, mbele, nyuma, pembeni, katikati

(3) Kata/pinda kushoto, kata/pinda kulia, nenda mbele, nenda moja kwa moja, simama.

Tafsiri: go back, behind you, on your left, to your right, don't stand here.

No comments: