Tuesday, October 21, 2008

RAISI GEORGE BUSH ALIPOTEMBELEA TANZANIA

(1) AIR FORCE ONE - NDEGE YA RAISI WA MAREKANI











(2) RAISI ALIBURUDISHWA NA NGOMA ZA KIENYEJI AKIWA BADO KATIKA ZULIA JEKUNDU UWANJA WA NDEGE.











































(3) KAN
GA ZA KUMKARIBISHA















































































































(4) RAIS BUSH NA WAMASAI




































(5) WAKE WA MARAISI (MAMA BUSH NA MAMA KIKWETE)



















(6) KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA














































(7) WAISLAMU WALIANDAMANA KUPINGA ZIARA HIYO














(8) RAISI BUSH AKIWA NA MWENYEJI WAKE RAISI KIKWETE WA TANZANIA















(9) RAISI BUSH NA MKEWE WAKIAGWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.




















MASWALI


(1) Baada ya kuangalia picha hizi una maoni yo yote kuhusu jambo lolote lililokuvutia, kukushangaza na hata kukukasirisha?

(2) Kanga za Bush zinasemaje? Umezipenda?

2 comments:

Anonymous said...

Ninafikiri kanga hazikuhitaji. Sizipendi, lakini labda kwa sababu sipendi Bush. Pia, sipendi watu ambao wanajaribu nasa kupata watu kuwapenda. Bango lingekuwa la kutosha. Ningependa kujua kwa nini Waislamu hawapendi Bush na siasa yake. Pia, Bush alitembelea Tanzania kwa siku ngapi?
-Joy

Anonymous said...

Ninasangaa katika karibishio watanzania walimpa Rais Bush na wanawake wote walivaa kanga. Nilipenda kanga na picha za Rais Bush. Kanga hizo zilikuwa mbalimbali na nzuri. Marinda ya wanawake waliyavaa yalikuwa na bendera za Marekani na Tanzania. Ninapenda kuwa zinaonyesha umoja.