Tuesday, October 20, 2009

TOVUTI JUU YA MAGONJWA MBALIMBALI

Tafadhali sana tazameni tovuti hizi ili mpate habari juu ya magonjwa mbalimbali:

3 comments:

Anonymous said...

Ninafurahi tulisoma katika Malaria. Nitaposafiri Afrika ya Mashariki, nitasikia shauri la darasa.
Pahalini ambapo dawa halifanyi ponawamba. Madaktari wanaweza kufanyaje? Watu wengi hufa kwa sababu hawawezi kuenda hospitali.

Anonymous said...

Nilisoma sehemu ya “Kichaa cha wanyama.” Kwa sababu ninafanya kazi na wanyama kichaa cha wanyama ni ugonjwa muhimu sana. Nimetaka kupata chanjo kwa ugonjwa huu laikini sijafanyia kazi na kampuni ambayo ingelipia chanjo. Kiangazi kilichopita watu wa timu yangu waliogopa sana kichaa cha wanyama. Tuliishi katika mahema madogo na ilikuwa wanyama wengi karibu na sisi. Nguchiro wengi walicheza na waliangalia chakula karibu sisi na Cerian aliniambia wao wana kichaa cha wanyama. Katika Botswana hospitali ni nzuri laikini hatukutaka kuumwa mnyama mwenye kichaa cha wanyama.

Priya said...

Kwa kuona picha hii nina fikiri kuwa malaria ni gonjwa moja ambayo ina patikana katika hewa ambayo una joto sana. Kwasababu uki tazama picha rangi nyekundu iko katikati, mahali ambayo una joto sana.