Monday, October 19, 2009

JARIBU KUSOMA NA KUFAHAMU SEHEMU HIZI ZA MWILI

















2 comments:

Anonymous said...

Ninafikiri nitaenda daktari kwa sababu siwezi kupumua. Lakini nimejisikia choka, kwa hivyo nitakaa hapa nyumbani. Ofisi wa daktari si karibu na sitaki kuendesha. Pia, ninaumwa kichwa, tumbo, koo, na sikio. Nilianza juzi kwa hivyo nina wasiwasi. Pengine sitafariki.

Emusaint said...

Sehemu za mwili zina mbalimbali majina kwa mfano maziwa au titi. Ni lazima ufahamu hizi kwa sababu kama unaenda daktari unahitaji kuamba wagonjwa wako. Kwa mfano kama daktari anauliza "nini tena kina kuumwa?" Unaweza kusema "kichwa kinaiuma au jointi zote zinaiuma." Kama una dalili kama hizi atakusema "ninakushauri uende maabara na kupima damu yangu."
-Hugh