Monday, September 13, 2010

MISS TANZANIA 2010 - UNAWEZA KUSEMA LOLOTE?


Kwa habari zaidi soma hapa.

10 comments:

Kelci D Dennison said...

Alah! Wanawake wazuri wazuri! Mshindi, ana mrefu na ana kifahari. Ana furaha kwa sababu anakushinda the crown na motokaa. Atakushindana katika Miss Universe?

Taylor Gonzalez said...

Miss Tanzania ni mwanamke mzuri sana! Yeye ni mrefu sana na na anaonekana kuwa sharifu lakini anaonekana kuwa na furaha pia. Ana bahati kwa sababu alipata motokaa na taji yake.

Mary-Alison Burger said...

Ninafikiri yeye ni mzuri sana! Ninapenda kwamba alivaa rangi nyingi. Ninataka nina miguu kama yake! Yeye ana miguu mirefu sana sana sana! Ana ngozi nzuri pia. Ingawa, Ninafikiri pia kwamba atakuwa mzuri sana kwa hapana babies juu ya uso wake.

Iannelli said...

Ninafurahi kwa mshindi ya "Miss TZ", yeye ni mrembo ni kweli. Lakini sipendi mashindano haya ndani Amerika, na sipendi haya nje Amerika. Kuna sehemu ya utamaduni ya Amerika kwamba sipendi. Ufahamu yangu kwa utamaduni ya TZ (kijiji) ni kwamba si safi kuonyesha au kufununua mwili ya mtu sana. Ninapenda hizi. Miguu yake ni mizuri,na kuwa na magari yake ni safi. Je, lakini "Miss Taifa" mashindano yanatangaza myenyekevu?? Basi labda ungesema kwamba ni mtu ya desturi, na ningesema "ni kweli"!

Olivia Martin said...
This comment has been removed by the author.
Olivia Martin said...

Mwanamke huyu anaitwa Miss Tanzania. Yeye alishinda jina hili. Yeye ni mrefu, mweusi, na mwembamba sana. Nina wasiwasi kwa sababu kwa kawaida watu wembamba sana si wazima. Nafikiri Miss Tanzania ananawiri kwa sababu yeye ana sura nzuri na yeye anafurahi sana. Pia, yeye ana nywele ndefu nzuri na meno meupe sana. Napenda gauni nyekundu yake!

Rachel Velez said...

Ningefurahi sana kukutana Miss Tanzania kwa sababu yeye ni nzuri sana sana! Ana kicheko kizuri na yeye ni mrefu. Ninamwaza yeye ana roho nzuri pia. Mwanamke huyu anastahili kuwa Miss USA!

Maria Gaffud said...

Yeye ni mrefu sana! Ninafikiri yeye ni nzuri na gauni yake ni nzuri, pia. Anafurahi kwa sababu alishinda Miss Tanzania. Kama ningeshinda, ningefurahi, pia.

Anonymous said...

Kuwa mwanamke Tanzania, ni lazima awe na vipaji vipekee. Kwa hivyo, kuimba au ngoma. Pia, ni lazima ajibu maswali na akili ili majaji wanajua utu uke. Na awe mzuri sana bila shaka. Mwanamke Tanzania hii ni mrembo sana na mrefu. Mavazi yake ni mazuri sana na ninapenda rangi. Yeye ana tabasamu nzuri pia.

Whitney Mcintosh said...

Nafikiri Bibi Tanzania ni mrembo sana!!!! Nafikiri unampokuta, yeye mpole, na mchesi. Ana ngozi nzuri ana meno neupe.Yeye mrefu sana na ana tabasamu nzuri sana. Najua afurahi ana motokaa pya. Yeye ngou ni nzuri pia.