Monday, September 27, 2010

INSHA (ILETWE DARASANI JUMATANO - 29/10/2010)

  • Andika insha ndefu juu ya nyumba unayoitamani sana (your dream house). Andika kila kitu kuhusu nyumba hiyo. Since this is a hypothetical house, this is an excellent chance for you to practice -nge-, -ngeli- and -ngali- tense.

7 comments:

Maria Gaffud said...

Nyumba yetu tunayoitamani itakuwa kubwa na itakuwa ghorofa mbili. Ningependa kuwa na vyumba kumi na tano. Ningekuwa na vyumba vya kulala vinne, chumba cha muziki na kinanda, chumba cha mchezo na pool table na michezo ya video, sebule, chumba cha kulia, maktaba, vyumba vya msala vinne, na chumba cha kufulia. Ningependa kuwa na bustani na maua sana yako nyumba yetu. Ningekuwa na airconditioner na heater mle nyumba yetu.

Chumba cha kulia kingekuwa na meza ya oak na viti sita. Kingekuwa na jiko na jokofu. Chumba cha kulala changu kingekuwa na kitanda kubwa. Vyumba vya kulala vingine vingekuwa na kitanda kubwa, pia, na televisheni. Zingekuwa na kabati, meza ndogo, na taa pia. Vyumba vya msala vyote vingekuwa na jacuzzi na vyumba vya kuoga. Sebule ingekuwa na televisheni kubwa na DVD player. Ningekuwa na viti mle pia. Maktaba ingekuwa na vitabu vote mbalimbali sana kwa sababu ninapenda kusoma vitabu. Ningekuwa na computa mle maktaba. Ningekuwa na Dance Dance Revolution mle chumba cha mchezo. Ningekuwa na washing machine na dryer mle chumba cha kufulia. Nyuma ya nyumba yetu, bustani yangu ingekuwa na maua sana na rangi mbalimbali. Mti ya tufaha ungesimama katikati ya bustani yangu.

Nyumba yetu ingekuwa na gereji tatu kwa sababu ningependa kuwa na magari matatu. Nyumba yetu ingekuwa karibu na bahari nzuri.

Anonymous said...

Ningekuwa na pesa nyingi nisingependa kuwa na nyumba kubwa lakini ningependa kuwa na nyumba nzuri. Nisingependa kuwa na nyumba kubwa na nghali sana kwa sababu si lazima niwe na nyumba kubwa. Ninataka kusafiri dunia kuona tofauti watu wenye tofauti untamaduni na kusoma tofauti wanyama kama simba, tembo, na twiga. Pia, ninataka kusafiri dunia kujifunza lugha nyingi kwa sababu ninaipenda lugha sana sana. Basi, ningekuwa na pesa nyingi ningependa kusafiri dunia.
Lakini, nyumba ya ndoto yangu itakuwa nzuri yenye madirisha mingi kwa sababu ninapenda mwanagaza mwingi. Kwa sababu itakuwa na madirisha mingi, nyumba yetu itakuwa joto lakini ninapenda hali ya hewa joto. Sipendi baridi sana! Kwa hivyo, ningekuwa na nyumba ya ndoto yangu, ingekuwapo katika hali ya hewa ni joto na nguvuguvu kama jimbo la Florida au Afrika Mashariki katika pwani au sehemu karibu ziwa. Ningekaa karibu pwani au ziwa, ningeongolea na ninapenda kuongolea sana. Katika nyumba yetu, si lazima iwe na umeme kwa sababu ina moto na mishumaa. Ninapenda pori sana kwa hivyo ni lazima nyumba ya ndoto yangu iwe chumba cha nje bila kuta lakini madarisha ya vyandarua. Ingekuwa na chumba cha nje chenye madarisha ya vyandarua, wabu wasingekuwapo chumbani cha nje. Katika chumba cha nje, marafiki nami tungekula vyakula na tungezungumzana kama sebuleni. Kingekuwa na mesa moja na viti vingi venye mito. Pia, chumbani cha nje kisingekuwa na runinga lakini kingekuwa redio au kitu kusikiliza musiki yenye. Ninapenda musiki hasa, musiki ya Afrika. Nilisoma musiki ya Afrika katika chuo cha Florida na ninapenda darasani sana!
Nyumba ya ndoto yangu ingekuwa salama sana sana yenye mito mingi kupumzika. Ingekuwa vyumba vya kulala viwili venye kabati kimoja, kuta nne, madarisha mawili, na kitanda kimoja katika kila chumba cha kulala. Nyumba yetu isingekuwa na kulia kwa sababu ningepika chakula katika moto. Ingekuwa na bustani lenye miti, maua, matunda, na mboga pia. NA ningekuwa na mbwa bila shaka.
NINAPENDA RAHISI MAISHA!

Unknown said...

Stupid

Anonymous said...

Lol

Unknown said...

lol

Unknown said...

Wow

Anonymous said...

You're stupid