Monday, September 27, 2010

TOA MAELEZO MAFUPI YA JINSI YA KUFIKA KWAKO

  • Rafiki yako anataka kukutembelea na hajawahi kufika kwenu. Mpe maelezo marefu ya namna ya kufika kwenu kutokea Chuo Kikuu cha Florida kwa kutumia usafiri wa umma.

7 comments:

Taylor Gonzalez said...

Ili ufike plesi yangu kwa kutumia usafiri wa umma, panda basi namba mia moja ishirini na moja au mia moja ishirini na saba kutoka njia ya Union. Basi itapinda kushoto halafu kulia halafu kushoto kwenye barabara ya pili kwa barabara ya kumi na tatu. Nenda moja kwa moja halafu pinda kulia kwenye kusini mashariki barabara ya nane. Halafu ondoka basi. Baadaye, panda basi namba kumi na sita au kumi na saba. Nenda moja kwa moja. Halafu pinda kushoto kwenye barabara ya Newell. Nenda moja kwa moja halafu pinda kushoto, nenda moja kwa moja, halafu pinda kulia kwenye kusini mashariki barabara ya Archer. Pinda kushoto kwenye kusini mashariki njia ya kumi na sita. Nenda moja kwa moja halafu pinda kushoto kwenye kusini mashariki barabara ya kumi na sita. Endelea kwenda moja kwa moja na mwishowe pinda kushoto kwenye kusini mashariki barabara ya kumi na nne.

Maria Gaffud said...

Ninakaa karibu Chuo Kikuu cha Florida, hivyo hutumi basi. Unatembea kutoka Chuo Kikuu cha Florida na nyumba yetu. Unanenda mashariki University Avenue, moja kwa moja hata 13th Street. Kata kulia na unanenda moja kwa moja hata 3rd Avenue. Kata kushoto na nyumba yetu ipo kulia.

Mary-Alison Burger said...

Nyumba yetu ni karibu chuo kikuu Florida, hivyo kutembelea nyumba yetu unaweza kuendesha kwa miguu. Kutoka U.F. nenda moja kwa moja katika barabara "University" mpaka barabara kumi na moja, kata kushoto, nenda moja kwa moja mpaka barabara watatu. Nyumba yetu ipo kulia yako. Nyumba nyeupe, kubwa na nyumba ya ghorofa mbili. Umefika!

Anonymous said...

Uanze mashariki katika barabara Chuo Kikuu na kata kulia katika barabara kumi na tatu. Uende moja kwa moja kusini mpaka barabara Archer. Taka kulia na uende magharibi katika barabara Archer mpaka barabara ishirini na tatu. Taka kushoto na taka haraka kulia katika barabara "Zamani Archer". Uende moja kwa moja na uache katika kuacha ishara na uende moja kwa moja. Halafu, kata kushoto wakati unaona ishara "Enclave na Gainesville Place." Uende moja kwa moja kaskazini na uache tena katika kuacha ishara. Taka kushoto na taka kulia katika jengo la K. Ipo rangi ya machungwa na karibu jengo la ofisi ya kukodisha. Anakaa ghorofa tatu katika chumba cha mia tatu na moja.

Whitney Mcintosh said...

Nakaa katika Chou Kikuu cha Florida. Kwa hivyo lazima unatembee, utafikaje kwako, utapokwendo kusini margharibi. uatembea tano dakita. Vuka barabara Museum. Utaingia, Bweni Beaty Towers Maraghribi. Nendo katika elevato. Nakaa kantika sakafu nane , bweni mia nane na sita. Inakuwa ndogo na watu wawilli wakaa nami.