Monday, September 13, 2010

ZOEZI: TOA MAONI YAKO

I. Sikiliza wimbo huu hapa chini na kisha jibu maswali


    (a) Umeupenda wimbo huu? Kwa nini?

    (b) Unakubaliana na Dudu Baya kwamba "mwanamke tabia?" i.e Noeclexis

    II. Ungekuwa mtu mwenye nguvu kuliko wote na kiongozi wa taifa tajiri kuliko yote duniani mf. Rais wa Marekani ungefanya nini ili kusaidia watu masikini hapa Marekani na duniani kote.

    11 comments:

    Rachel Velez said...

    1.
    (a) Niliupenda wimbo kwa sababu una sauti nzuri na kusudi muhimu. Dudu Baya anampenda mwanamke wake kwa sababu ana tabia nzuri. Tupende watu wote kwa sababu roho na tabia yangu. Sura si muhimu.

    (b) Ndiyo, ninakubaliana na Dudu Baya kwamba mwanamke tabia kwa sababu sura ya mwanamke si muhimu. Wanawake wenye roho nzuri ni vizuri zaidi wanawake na roho baya.

    Taylor Gonzalez said...

    1.
    a.)Ninaupenda wimbo huu kwa sababu yule mwimbaji anasema kwamba sifa za haiba wa mwanamke ni muhimu zaidi kuliko sifa za mwili wake.

    b.)Ndiyo, ninakubaliana na Dudu Baya kwa sababu unapojua sifa za haiba wa mtu, unamjua mtu kwa kweli.

    2. Ningekuwa mtu mwenye nguvu kuliko wote na kiongozi wa taifa tajiri kuliko yote duniani, ningesaidia watu masikini kwa kutoa wao pesa ili wangeweza kuwa na nyumba. Halafu, ningewasaidia kukuta kazi ili wangeweza kujitegemea.

    Mary-Alison Burger said...

    (a)
    Ninapenda wimbo huu, likini si kwa sababu, Marekani wanamuziki (kama “hip-hop artists) mara nyingi wanaimba kuhusu vitu vibaya. Kama, mbaya wanamke na kunywa pombe na kufanya vitu vibaya. Mtanzanian wanamuziki wanaimba kuhusu wamekuwa na tabia mzuri.

    (b)
    Ninafikiri kwamba wewe lazima ujaribu kuwa na sifa mzuri NA mwili mzuri pia, lakini sifa ni muhimu zaidi . Sifa ni muhimu zaidi kwa sababu watu wote watakuwa wazee hatimaye, na utakapokuwa mzee utakuwa na tu tabia!

    The Dork said...

    #1
    a) Nimeupenda wimbo huu kwa sababu nimeupenda maagizo ya wimbo: Tabia wa mwanamke ni muhimu na mwili sio kutoa maana wa mwanamke. Mwili unafifa ndani ya wakati, lakini hana tabia.

    b) Ndiyo, ninakubaliana. Ndani ya wimbo huu, naye mazungumzo juu ya upendo mwanamke kwa tabia yake, sio mwili.

    The Dork said...

    #1
    a) Nimeupenda wimbo huu kwa sababu nimeupenda maagizo ya wimbo: Tabia wa mwanamke ni muhimu na mwili sio kutoa maana wa mwanamke. Mwili unafifa ndani ya wakati, lakini hana tabia.

    b) Ndiyo, ninakubaliana. Ndani ya wimbo huu, naye mazungumzo juu ya upendo mwanamke kwa tabia yake, sio mwili.

    Iannelli said...

    a)Hupendi muziki ya rap kwa sababu ninapenda wimbo kwa hadithi. Lakini sijuinkama ninapenda wimbo hii. Kwa sababu sijui kama Dudu Baya anasema ukweli au kama anamaibisha mwanamke huyo. Wimbo inakufanya mimi nina wasi wasi kwa sababu sitaki Dudu Baya kuwa mkatili.

    b)Ninakubliana na Dudu Baya kwamba mwanamke tabia ni muhimu sana. Lakini ninajua pia kwamba watu wanawapendana kwanza kwa sababu sifa za mwili. Mwanzoni ni lazima kuone na kupende tabia za mwili. Wapili, ni lazima kujue tabia za utu. Kama tabia yote ni nzuri, wakati ule mtu atampenda.

    Olivia Martin said...

    I. (a) Sipendi wimbo huu kwa sababu sielewi madhumuni ya kutukana. Si lazima aseme maneno makali juu ya mpenzi wake. Kama mpenzi wake ni mwanamke mzuri, angekuwa na huruma. Wema hauozi! Pia, sielewi "Nakupenda kama apple" kwa sababu apple ni chakula, si kama mpenzi.
    (b) Ujumbe wa wimbo ni tabia ni muhimu sana na nakubalina. Ndiyo!

    II. Ni lazima Rais wa Marekani apate nguvu ya umeme ambayo ni ya kudumu. Anahitaji kuzuia vita, maradhi, na umasikini. Pia, anahitaji kusababisha amani! Hii ni kazi ngumu inayohitaji fedha nyingi.

    wmcintosh said...

    Whitney McIntosh
    A) Nimeupenda wimbo huu, kwa sababu muziki na maneno zichngamsha.

    B) Nafikiri mawanamke tabia ni nzuri. Katika Amerika nchi watu wingi wanataka mke mrembo, lakini baada ya muda wataka mwanamke tabia.

    Jenny Wilkinson said...

    1.
    (a) Sipendi wimbo huu. Inakuwa maneno matamu na salamu ni nzuri, lakini sipendi mtindo hii ya muziki. Dudu Baya ni mtu mzuri kupenda mwanamke wake, lakini sitaki kusikiliza.

    (b) Ndiyo, ninakubliana. Ingawa sipendi wimbo huu ninajua iko moyo ambao ni muhimu kwa udugu.

    Jenny Wilkinson said...

    1.
    (a) Sipendi wimbo huu. Inakuwa maneno matamu na salamu ni nzuri, lakini sipendi mtindo hii ya muziki. Dudu Baya ni mtu mzuri kupenda mwanamke wake, lakini sitaki kusikiliza.

    (b) Ndiyo, ninakubliana. Ingawa sipendi wimbo huu ninajua iko moyo ambao ni muhimu kwa udugu.

    Anonymous said...

    1. (a) Ninaupenda wimbo huu kwa sababu yeye anafahamu muhimu katika mnasaba kama tabia nzuri. Tabia nzuri ni mtiifu, mcheshi, mnyenyekevu, mpole, na mkarimu. Mnasaba si kuhusu mwili.

    (b)Ndiyo, mimi ninakubaliana na Dudu Baya kwamba, "mwanamke tabia" kwa sababu uzuri ukweli ni muhimu na uzuri unatokana toka tabia hunatokana mwili. Tabia inafanya mtu mzuri au mrembo.