Wednesday, October 20, 2010

DAWA ZA KIENYEJI














Dr. Nkungu - mganga wa kienyeji











Dr. Mantori - mganga wa kienyeji













Wamasai wanauza dawa za kienyeji barabarani

4 comments:

Anonymous said...

Hapa Marekani, sifahamu wo wote ambaye angenunua dawa hizo za kienyeji. Ninafikiri kwamba chupa zinaonekana chafu. Pia, huwezi kujua vitu gani watu wanaviweka ndani ya chupa. Sijui kama ningejaribu dawa za kienyeji. Ninadhani inawezekana kwamba ningenunua dawa ili niwe na furaha tu.
-Kelley

Emusaint said...

Ninafikiri dawa za kienyeji ni katika kienyeji chote. Jina letu hapa katika Marekani ni "mafuta ya nyoka " au "dawa za budi." Wachawe walichoma hapa pia. Lakini sasa sisi tunawalipa kwa yoga au vitamini. Pia sisi tunaitumia bia kwa dawa za kichaa na nguvu za kiume.
-Hugh

Angela said...

Picha ya kwanaza na pili zinanileta tabasamu kwa sababu maneno. Ninafikiria dawa za kienyeji linaweza ufanisikwa baadi ya watu. Hapa Merikani, watu wengi wanaamini dawa ys magharibi ni dawa bora kabisa. Vikundi vidogo vinajifunza habari zaidi kuhusu dawa lengine. Ninafikiria madawa wote waanatumia ufanisi pamoja.

Anonymous said...

Nafikiri Tanzania ingekua katika nchi za africa na duniani za kwanza kutokua na wagonjwa wengi, lakini ukitazama inawagonjwa wengi kupita kiasi naona kila kona na pembe waganga wanatibu magonjwa yote hivi kusema uongo ni kitu cha kawaida kwa wananchi wa TZ.