Monday, October 4, 2010

CHEMSHABONGO YA TATU - KUFANYIA NYUMBANI (ILETWE DARASANI IJUMAA)

(1) Fanya swali la kwanza la zoezi la pili (uk 53)

(2) Soma habari za Sarufi na fanya mazoezi yanayofuatia (uk. 55).

(3) Fanya zoezi la Nne (uk 56-57)

(4) Fanya swali la kwanza kutoka zoezi la Nane (uk 61)

(5) Watoto hawa ni lazima waende shule na baba ana pikipiki moja tu na hana gari. Je, ungekuwa wewe ungefanya nini?


1 comment:

Mary-Alison Burger said...

Sijui. Ni kweli kwamba watoto lazima waende shule, na ni huzuni kwamba babao ana pikipiki moja, lakini kuendesha pikipiki kwa watoto wengi katika nyuma ya pikipiki si salama sana. Ingawa, pegine katika nchi za afrika ni desturi yao na watu wa afrika hawafikiri kwamba si salamu kama mamerikani. Ningekuwa mimi, ninafikiri ningeamka mapema sana sana na ningeendesha kila mtoto au pengine watoto wawili shule, na nikarudi nyumba nikaendesha watoto wengine shule.