Wednesday, October 20, 2010

MDUDU HATARI KULIKO WOTE DUNIANI

Mdudu huyu anaitwaje? Kwa nini unafikiri kwamba yeye ndiye mdudu hatari kabisa kuliko wote hapa duniani?

4 comments:

Anonymous said...

Mdudu huyu anaitwa mbu. Mbu ni mdudu hatari kabisa kuliko wote hapa duniani kwa sababu anakula damu na anaruka. Ugonjwa nyingi za watu wanakuwamo damu na wanyama wanaokula damu wangeeneza ugonjwa hizi. Mbu ni hatari sana kwa sababu anaweza kusafiri mbali kwa sababu anaruka. Mtu mwenye malaria angeumwa na mbu na mbu haya anauma mtu mwengine, mtu mpili angeweza kupata malaria. Vinakuwa vinga vingi kujikinga malaria laikini katika sehemu nyingi za Afrika, watu hawana chandarua au dawa za kufukuza mbu na watu wengi wanafariki. Nilipoenda Afrika Mashariki na Afrika kusini nilitegemea dawa za kinga laikini bado niliogopa malaria kidogo. Mbu wananipenda na niliumwa sana. Kiangazi kilichopita tulifikiri rafiki wangu alikuwa na malaria kwa sababu yeye aliumwa na kichwa na alikuwa na maumivu ya jointi na mwili wote. Alikuwa na homa na alichoka sana. Tulienda hospitali binafsi na daktari anapima damu laikini alimambia hakukuwa na malaria.

Anonymous said...

Mdudu huyu ni mdogo sana. Lakini kila mwaka zaidi ya watu milioni hufariki. Kuna vitu vingi ungefanya kujikinga na Malaria. Kutokwenda nje usiku. Kama unaweza kupata dawa za kufukuza mbu au dawaza kinga ni nzuri.

Cecilia said...

Mdudu ni mnyama hatari kuliko wote dunia kabisa, kwa sababu magonjwa mengi yanaweza kuchukuliwa na mdudu. Mdudu wa aina ya anopheles tu anachukua malaria, lakini mdudu wa aina nyingi nyingine wanaweza kuchukua magonjwa mengi mengine. Mdudu anachukua malaria, homa ya manjano, kidingapopo, encephalitis na homa nyingi, kama homa ya bonde la mwatuko (Rift Valley) na mto Nile magharibi (West Nile). Yote magonjwa haya yanaweza kukukufa. Mdudu ni hatari sana kwa sababu ni kila mahali na ni mdogo, huwezi kuwaona. Lakini, kuna jinsi rahisi kunajikinga, kama kutumia chandarua cha mbu, kulala mapema, na kuvaa nguo ndefu.

Emusaint said...

Mdudu huyu ni mbu (jike). Malaria inachukua sababu kuumwa wa mbu. Mbu anaikula damu sana. Lakini wanapoumwa wanaachia mate ya mdudu ambaya yana vimelea vya malaria. Nilipokuwa katika Iraki niliitumia dawa za kinga lakini nilikuwa na uma wengi kwa hivyo hakuna malaria.
-Hugh