Monday, September 8, 2008

UJUMBE WA KANGA

Kanga hii inatoa ujumbe gani? Unakubaliana na ujumbe huo?

1 comment:

Anonymous said...

Kanga hii intoa ujumbe kwamba kitu kingekuwa kizuri, kitahitaji mara. Methali yenye ujumbe huu ni “haraka haraka haina baraka.” Ninakubaliana na ujumbe huu. Nampenda sana mpenzi wangu na tutaoa Juni ijayo laikini mahaba yetu yamepanda muda wa miaka mitatu. Nilipokuwa mototo nilijua nilitaka kufanya kazi na wanyama laikini kitu kizuri hiki kilihitaji mara na sasa baada ya miaka ishirini mimi ni mwanaecolojia.