Soma Sarufi ya Somo la Pili
(1) Every and each (kila) - uk. wa 35, (2) The relative constructions (uk.36) and (3) the -o construction (uk.37)
Fanya Zoezi la Tatu: Maswali ya Kisarufi (uK.39). Andika majibu yako hapa chini kama maoni (comments)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
2 comments:
1) Juma ana anwani ya nyumba ambayo tunatafuta.
2) Salma na Pili wote wanakaa katika chumba kimoja.
3) Sakafu ambayo ninapenda ni la zulia.
4) Ninataka watu wote waende katika sebule.
5) Sisi sote hatupendi vyumba vidogo.
6) Baba na mama wote wana chumba cha kulala kikubwa.
7) Lily ana kitanda ambacho kina blanketi.
8) Nyumba yetu ina chumba kimoja.
9) Bafu ninayolipenda ni la maji moto.
10) Nyumba ninayoitaka ni ya ghorofa mbili na vyumba vinne.
Yeah, I got the same answers in my book. Can we contract number 3?
1. Juma ana anwani ya nyumba tunayotafuta.
3. Sakafu ninayopenda ni la zulia.
Can we contract with -na?
7. Lily anacho kitanda kina blanketi.
Post a Comment