Wednesday, April 6, 2011

UNAUONAJE USAFIRI HUU WA WANAFUNZI WA TANZANIA?

Ni sawa na wa wanafunzi wa Marekani? Eleza

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni sawa kwa vile binadamu wote ni sawa. Lakini hii sio sawa kabisa. Wanafunzi hawa kwa kuwa wanafunzi bora wanahitaji usafiri. Sijui kwa nini kusiwe na usafiri maalumu kwa wanafunzi kwenda na kurudi?

Anonymous said...

Afadhali wasiende kukaa juu ya ukingo!