Monday, April 4, 2011

LEO NI TAREHE 4/4/2011 - ZUNGUMZENI JUU YA MASWALI HAYA

Important

Remain in the classroom. Discuss the questions below in two groups. Towards the end of the class, spare about 10 minutes and write your answers as comments on this post. The answers don't have to be too long. I just want to see what you think. Please, write your names.

*****************
Shida Sura ya Nne
  • Sefu anakutana na Shida katika baa ya Starehe (ukurasa wa 62 aya ya mwisho). Shida alikuwa anafanya kazi gani? Unaipenda kazi yake. Kwa nini? = Jibu swali hili.
  • Sefu na Shida walisameheana na kuendelea na mapenzi yao. Sasa Jifanye (Now pretend). Kama wewe ungekuwa Sefu ungefanyeje? Ungemsamehe Shida? = Jibu swali hili.
  • Shida anapata mimba (ukurasa wa 63 aya ya mwisho) na anahamia kwa Sefu (ukurasa wa 64 aya ya pili na kuendelea)
  • Sefu anaanza kufanya kazi mpya (ukurasa wa 66 aya ya nne …Lala masikini, amka tajiri…. Soma mpaka mwisho wa sura). Ni kazi gani? Unaipenda? = Jibu swali hili.
  •  Andika ufupisho wa sura hii kwa kutumia maneno yako mwenyewe. = Jibu swali hili (kama kuna muda)

6 comments:

Rachel Velez said...

Chonya alimwona Shida katika baa na alikuwa malaya. Ninafikiri kazi ya malaya ni mbaya sana kwa sababu unauza mwili wako ovyo na unauuzia watu hajui.

Kama mimi ningekuwa Sefu nisingalimsamehe Shida kwa sababu Shida anajali kuhusu mwenyewe tu. Shida hakuja kituoni cha basi. Nimekuwa kujifunza kila kitu cha mji. Shida aliyaharibu maisha yangu!

Shida alipata kazi katika biashara ya mkaa, na ninafikiri kazi hii ni nzuri sana kwa sababu ina pato la shilingi mia tisa.

Anonymous said...

Kayla--

1. Shida ni malaya! Siipendi kazi yake sana kwa sababu si kazi ya heshima na kuna kufanya kazi zingine kama uboi lakini ingawa kufanya kazi ya uboi si heshima, kufanya kazi ya uboi ni heshima zaidi kuliko kufanya kazi ya malaya. Kwa sababu ni rahisi kufanya kazi ya malaya na kutengemea pesa nyingi si lazima afanye kazi ya malaya. Ni muhimu ane heshima kwa mwili wake. Maisha hayamaanisha kuwa rahisi, ni lazima ufanye kazi sana na ujifunze.

2. Kama mimi ningekuwa Sefu, singesamehe Shida kwa sababu nilifuraha katika kijiji bila Shida na maisha yataendeleza. Kuna watu wengi ambao wanapendeka. Pia, kama Shida nilimpenda Chonya kama alimwambia, Shida angelikuwa katika stesheni ya katara Chonya alipofika.

3. Ndiyo, ninaipenda kazi yake kwa sababu anauza chapati na anategemea shilingi mia tisa. Anatengemea pesa nzuri sana na ni biashara na heshimu.

Mary-Alison Burger said...

1) Sipendi fanya ya shida nji fanya baya. Ninafikiri una mwili moja na ninafikiri ni muhimu sana kujiheshimu na kuheshiumu (kama nilisema darasani kabla ya).

2) Ndiyo, ningesamehe Shida lakini halafu ningefikiri Shida ni mtu ambaye haminiki na nisingetaka kuwa naye.

3) Chonya alianza kuuza chapati lakini hakuwa kupata pesa nyingi. Basi, pengine si fanya nzuri sana.

Unknown said...

1. Shida alikuwa na malaya katika naa ya starehe. Sipendi kazi yake kwa sababu malaya si wanajiheshima.

2. Ningesamehe Shida kwa sababu ninaelewa maishi ni magumu, lakini ningeendelea na mapenzi yake.

3. Sijui...Sefu anaanza biashara ya kuuza chapati kwa rasilmali, lkaini alimamba Shida atakwenda poroni kuchoma mkaa. Ni kazi nzuri si ni kweli.

----Sura ya Nne----
Sefu alikuwa na Shida, lakini alitambua "Maisha bila kazi hayana heshima." Sefu alipata kazi na alinunuliwa nguo na chakula. Alifanya bajeti kutumia pesa yake kwa hekima. Lakini Sefu alifanya rafiki mpya, Msafiri. Msafiri ni rafiki mbaya sana, alikuwa na jamaa lakini hakupenda watoto wake. Msafiri na Sefu walikunywa pombe na walitengereza jani. Walienda baa ya starehe na Sefu alione Shida. Walianza kuonana kama mapenzi Sefu alisema alifanya kazi kupata pesa kwa Shida na mtoto yake, lakini aliondoka kwa Msafiri na hakurudi.

Anonymous said...

Sefu anakutana na Shida katika baa ya Starehe. Shida alikuwa anafanya kazi la umalaya. Siipendi kazi hii ambayo inachokesha mioyo ya wanamke.

Kama mimi ningekuwa Sefu ningefanyeje... Ningemsameha Shida. Kwa nini? Ninampenda. Na tunaelekea kueleana. Tutaanza upya na upendo wetu watapata nguvu.

Sefu anaanza kufanya kazi mpya “Lala masikini, amka tajiri”. Kazi anayofanya ni namna kazi inayopunguza mitii hapo pale—anachoma mkaa. Mkaa hufanya kutumiwa na watu ili wapike. Ninafikiri watu wingi wanajua hawataki kupunguza mitii. Poroni, mazingira na hewa ni muhimu. Kama watu sina umeme au gesi kupika, ni lazima waishi wafanye mkaa tu.

Iannelli said...

Samahani, posti ya kwanza ni Rachel I. Ni jambo geni kwa sababu sijui jina hii "son555". Sawa.