Monday, April 4, 2011

GARI LINASAFIRISHA NDIZI - UNAWEZA KUSEMA CHO CHOTE ???

5 comments:

Rachel Velez said...

Haha, ndiyo. Gari hili alibeba ndizi nyingi na linailetia watu na maduka.

Unknown said...

Sijui ndizi zinakuwa na uzito. Sinawezekana gari linaweza kuendesha.

Anonymous said...

Kayla said--

Ndizi zingi sana! Ninaipenda ndizi na picha hii inakumbusha kuhusu wakati nilikaa katika Philippines. Lakini ndizi za Philippines ni ndogo kuliko ndizi katika picha hii. Ninapenda ambavyo ninaona.

Mwalimu wa Kiswahili said...

Gari hili alibeba ndizi nyingi na linailetia

=====
Gari hili Alibeba = why a?

linailetea = why -i-
*******
Sijui ndizi zinakuwa na uzito. Sinawezekana gari linaweza kuendesha

=======
Why sinawezekana?

Gari linaweza kuendesha? Unataka kusema nini?

========
Ndizi ZINGI sana! NinaIpenda ndizi.

wakati nilikaa =

Iannelli said...

Gari hili halitawezeka kuendesha!