Friday, September 11, 2009

WATOTO WANAOFANYISHWA KAZI BADALA YA KWENDA SHULE

Una maoni gani kuhusu watoto wadogo kufanyishwa kazi ngumu badala ya kwenda shule?
















1 comment:

Angela said...

Ninakuwa na huzuni kuona watoto wadogo hawa kufanyishwa kazi ngumu badala ya kwenda shule. Ninafikiria elimu ni muhimu sana kwa watoto na jamii ya watoto. Kwa watoto, elimu ni muhimu kwa sababu inawatoa nafasi kwa baadaye. Watoto wataweza kufanya kazi na kuwa na afya afadhali pia. Elimu ina muhimu kwa jamii pia kwa sababu itachochea uchumi ya nchi. Watu zaidi watafanya kazi kwa sababu watakuwa na elimu. Ni vigumu kufakiri ya baadaye wakati unakuwa na hitaji sana sasa. Lakini, wazazi ni lazima wazingatie baadaye ya watoto wake.