Friday, September 11, 2009

MAZOEZI YA -NGE-, -NGALI- NA -NGELI-

Tazama picha zifuatazo na chini yake uandike mambo ambayo ungefanya na yale ambayo usingefanya kama ungekuwa wewe.

(1) Barack Obama -Raisi wa arobaini na nne wa Marekani













(2) Rush Limbaugh - Mtangazaji wa redio ya kihafidhina



















(3) Machen - Rais wa chuo Kikuu cha Florida



















(4) George Bush - Rais wa arobaini na tatu wa Marekani



















(5) Wewe - kuna kitu cho chote ambacho unafikiri kwamba ni afadhali usingekifanya?

3 comments:

NikkiD said...

Kama ningekuwa Rush Limbaugh ningerudi shule kutoka mwanzo kukisahihisha kichwa changu. Ningeanzalia kusoma kila kitabu muhimu cha siasa, halafu ningebadalisha chama changu cha siasa.

Mpaka ningesahihisha kichwa changu nisingesema hata neno moja kwa redio kwa, kwa sababu, bila kubadalisha maono yangu, ningeweza kudanganya sana, mwenye ni mbaya kwa watu wote. Pia, nisingeandika vitabu mebele ya kurudi shule.

Safina Sims (Mimi Ndimi) said...

Kama ningekuwa Rush Limbaugh ningeacha kazi changu. kwa sababu watu hawazungumza kama hawajui. Rush Limbaugh angetumia akili yake ningeasikiliza. kama ningekuwa Rush Limbaugh nisingefanya kazi kwa FOX. ningenunua maadili yangu na nisinge moyo yangu. kwa kweli nisingekuwa Rush Limbauh kwa sababu mimi ni mtu. ningekuwa Rush Limbauh ningefanya zoezi ya mwili kwa sababu yeye ni nene. Siapendi Rush Limbaugh sana sana.

Safina Sims said...

ningekuwa george bush nisingepiga na mafuta. ningewaambia bunge ya mareknai simama vita katika IRAQ. ningeanza programu maalumu na watoto. ningepeleka pesa kwa wato ghali. ningesaida watu mhamiaji. ningeokoa nchi new orleans. nisingenunua dawa za hatari kama OPIUM. ningeacha kwa sababu nitakuwa kiongozi kibaya.