Mahitaji
Unga wa mahindi vikombe 1 1/3
unga wa ngano kikombe 2/3
sukari kikombe 1 1/4
vanilla kijiko kimoja
mala nusu kikombe
mayai manne
siagi kikombe 3/4
chumvi kijiko
baking powder nusu kijiko
matunda
Upikaji
1. Changanya unga wa mahindi, unga wa ngano, chumvi, na baking powder.
2. Katika bakuli nyingine, changanya sukari, siagi, mayai, vanilla, na mala.
3. Ongeza mchanganyiko wa sukari na mchanganyiko wa unga, na changanya.
4. Ongeza matunda.
5. Pika dakika hamsini kwa 350 digri.
6. Baada ya kupoa, wape watu wale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
mkate wa boga
siagi kikombe 1/4
sukari kikombe 2 2/3
mayai manne
boga paundi moja
maji kikombe 2/3
unga kikombe 3 1/3
baking soda kijiko kiwili
chumvi kijiko kimoja na nusu
baking powder nusu kijiko
mdalasini kijiko
karafuu kijiko
1) Changanya siagi, sukari, mpaka
2)ongeza manne, boga na maji; changanya vizuri
3)Ongeza unga, chumvi, baking powder, soda, mdalasini na karafuu; changanya vizuri
4) Pika dakika hamsini kwa 350 digri.
5) basi baridi, basi kumtumikia na siagi
mimi hutengeneza mkate wa boga kila mwaka katika October. Mamangu na mimi, tulitengeneza mkate wa boga pamoja nilipokuwa kijana sana na mamangu alitengenezamoja mapishi kwa mama yake, nyanya yangu. Basi, sasa kwamba mimi sikai nyumbani, ninapotengeneza mkate wa boga mimi hufikiri mamangu na nyanyangu.
Mapishi ya Kunde
Mahitaji
Mafuta ya kupikia -- vijiko vya chakula viwili
Kitunguu ambacho kimekatakatwa -- kimoja
Nyanya ambazo zimekatakatwa na kutoka ambazo mbegu zimebanduka -- vikombe viwili
Kunde ambazo zimepikwa -- vikombe viwili
Siagi ya karanga -- kikombe robo moja
Maji -- kikombe robo moja
Chumvi na Pilipili za kutosha
Hatua za kufuata wakati wa kuandaa kunde
1. Chemsha mafuta katika sufuria.
2. Ongeza kitunguu na pika mpaka ni dhihirifu.
3. Ongeza nyanya na pika kwa muda wa dakika tano.
4. Ongeza kila kitu kingine na changanya.
5. Vinya kunde na kinyume cha kijiko.
6. Chemsha halafu hafifisha joto na pika kwa muda wa dakika kumi, kuchanganya mara kwa mara.
7. Andalia juu ya wali.
Nzuri
Post a Comment