Beginning Swahili
1
Chuo Kikuu cha
Northwestern
Zoezi la Nyumbani
(Homework)
Upo
Dar es salaam au Evanston, Tanzania. Jitambulishe kwa rafiki yako mpya. Hakikisha umetaja
jina lako, unakotoka, unapokaa sasa, shule unayosoma, lugha unazozungumza na
kama unaipenda Tanzania. Zingatia muundo wa vitenzi vya Kiswahili. Kama
utapenda, unaweza kuweka insha yako kama maoni katika blog ya darasa hapa:
KiswahiliMwakaWaPili.Blogspot.Com.
You
are in Dar es salaam or Evanston, Tanzania. Introduce yourself to a new friend. Make sure
to mention your name, where you are from, where you live now, what school you
are attending, what languages you speak and if you like Tanzania. Pay attention
to the structure of the Swahili verb. You can post your essay as a comment at
the class blog here: KiswahiliMwakaWaPili.Blogspot.Com.
1 comment:
Hannah Miko
S.L.P
DAR ES SALAAM
678
5/16/2017
Mambo rafiki mpya!
Jina langu ni Hannah nime tokea Dar Es Salaam, kwa sasa nina ishi Morogoro kwa sababu ya shule ninayosome, mimi nina ongea lugha tatu…kifaransa, kiingereza na Kiswahili. Lakini mimi sipendi Tanzania!!!
Post a Comment