Shida Sura ya Tano - Uk. 11 katika Mwongozo wa Shida
(1) Katika sura hii Sefu yuko wapi? Kwa nini?
(2) Sefu na Shida wameamua kurudi kijijini. Kwa nini? Isome vizuri barua ya Sefu aliyomwandikia Babake (uk. 79-81)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
5 comments:
1) Sefu yuko gerezani katika sura hii kwa shughuli za wizi. Alihukumiwa kifungo cha miaka miwili na viboko ishirini na vinne.
2) Sefu na Shida walitaka kurudi kijijini kwa sababu Sefu atatia bidii sana katika kazi ya kilimo ili atakapo niwe fundi wa kazi hiyo katika Kingorwila. Ni afadhali mikono migumu na Baba yake kidogo analitolea jasho kuliko kupenda kupata vya bure au vya urahisi. Wametambua kuwa tatizo lipo hapa mjini kama huko kwetu. Kama wazee wa Mary watanikubali, Sefu anamtaka Baba yake mpango wa harusi kamili na Mary mara tu warudi.
1. Sefu yuko jela kwa sababu alikuwa anafanya shughuli za wizi. Nadhani ilikuwa lazima Chonya afanye chochote kulia familia yake. Lakini, hasaidii familia anapokuwapo jela.
2. Sefu na Shida wameamua kurudi kijijini kwa sababu wanatake kuolewana. Sefu hakuwa na bahati mjini, basi anatake kuondoka mjini na kurudi kijijini kuamza maisha mapya na Shida.
1)Sefu yuko jela kwa sababu yeye ni mwizi kidogo. Yeye alienda Dar es Salaam kuangalia na fedha na alipoiba yeye alienda jela.
2)Yeye anataka kurudi kijijini kwa sababu maisha ya mji ni magumu sana. Yeye anataka kurudi kijijini na kufanya kazi ya kilimo na kuoa Shida.
1. Sefu alikuwa akifanya shughuli za wizi. Kwa hivyo, katika sura ya tano, alienda jela. Alihitaji kukaa jela miaka miwili na kumpata viboko ishirini na vinne.
2. Sefu na Shida wanataka kurudi kijijini kwa sababu walijifunza kwamba maisha ya mji ni magumu sana. Sefu alimwambia baba yake kwamba yeye anataka kuoa Shida kule.
1) Katika sura ya tano, Sefu yuko gerezani kwa sababu aliviiba vitu na rafiki.
2) Sefu na Shida walitaka kuhamia kijini kwa sababu maisha ya mjini ni mgumu. Walijifunza kwamba kuna kijini cha ujamaa, kinachokuwa kijini kilichomiliki kwa serikali. Walifikiri maisha ya kijini ni rahisi sana afadhali katikia maisha ya mjini.
Post a Comment