Wednesday, October 26, 2011

Chakula Nikipendacho

Chakula nikipendacho ni nyama ya n'gombe na mchicha. - Na Robert

Ili kupika chakula hiki kuwatosha watu wawilli, ni lazima kuwa na :

Siagi vijiko viwilli
Mchicha poundi robo
Chumvi ya kutosha
Nyama ya n'gombe paundi moja
Viungo vinavyoitwa "Montreal Steak Spice"

Kinavyopikwa:
Weka viungo katika nyama

Pika nyama ya n'gombe katika grill kwa dakika kumi au hadi ni nyekundu. (Usikipenda nyama nyekunda, upike kwa muda zaidi)

Baada ya nyama ilipikwa, weka mchicha katika sufuria kubwa.
Weka vijiko villi cha siagi katika mchicha . Halafu chumvi.
Pika mchicha kwa dakika tano, ukichanganya.

34 comments:

Rose said...

Chakula Nikipendacho-Na Rose

Kuku ya kitunguu saumu na limau (Mafungu nne)

Mahitaji:
Kifua nne cha kuku
Vijiko vya chai nne ya unga
Chumvi na pilipili (salt & pepper)
Vijiko vya chai viwili ya mafuta
Kikombe robo cha mchuzi wa kuku
Kijiko cha chai kimoja ya kitunguu saumu
Vijiko vya chai viwili maji ya limau
Kijiko cha chai kimoja ya siagi

Upikaji:
1. Uirashie kuku na unga, chumvi, na pilipili.
2. Uikaange kuku katika mafuta dakika tano juu ya kila upande.
3. Uichukue kuku kwa kaango
4. Uongeze mchuzi, kitunguu saumu, maji ya limau, na siagi katika kaango.
5. Upikie mchanganyiko dakika mbili.
6. Umwage juu ya kuku.

Andrew said...

Chakula nikipendacho ni Boston Cream Pie- Na Drew

Ili kupika Boston Cream Pie ya kuwatosha watu wanane una hitaji vitu vifuatavyo:

Mahitaji:
Siagi vijiko vikubwa sita
Unga vijiko vikubwa viwili
Unga wa keketi vikombe vimoja na nusu
Unga wa kuoka vijiko vidogo viwili
Chumvi kijiko kidogo robo
Sukari kikombe kitatu ya robo
Mayai mawili
Maziwa kikombe nusu
Vanilla extract kijiko kidogo kimoja
Maziwa kikombe nusu
Sukari kikombe nusu
Cornstarch vijiko vidogo vinne
Mayai mawili
Vanilla extract kijiko kidogo nusu
Chokoleti miraba minne
Siagi vijiko vikubwa viwili
Light cream kikombe robo
Vanilla extract kijiko kikubwa nusu
Sukari kikombe nusu

Upikaji
Changanya sukari na unga. Ongeza mayai mawili moja kwa moja na ongeza vanilla extract pia. Ongeza mchanganyiko wa unga na chumvi kwa maziwa. Oka kwa 375F kwa dakika kumi na tano.
Kwa mjaza, changanya light cream, maziwa, na mayai mawili. Pikia mchanganyiko kwa joto kadiri. Halafu, ongeza sukari, chumvi, na vanilla extract. Mimina baina ya keketi mbili.
Kwa frosting ya chokoleti, changanya chokoleti na siagi. Pikia mchanganyiko kwa joto mdogo. Ongeza light cream, sukari, na vanilla extract. Mimina frosting ya chokoleti juu ya keketi.

Iqra said...

Chakula nikipendacho na Masala ya Bamia.
Ili kupika chakula hiki kuwatosha watu wanne.

Mahitaji:
Bamia pound mbili
Vitunguu viwili katwakatwa
Mchanganyiko wa tangawizi na vitunguu-kijiko moja
Mbegu wa cumin-kijiko nusu
Poda ya coriander-kijiko moja
Poda nyekundu-kijiko nusu
Poda ya garam viungo via Kihindi-kijiko nusu
Poda ya amchur-kijiko nusu
Manjano poda-kijiko robo
Chumvi ya kutosha
Mafuta

Kupika Masala ya Bamia:
1) Kwanza osha na katakata bamia vipande nusu.
2) Ongeza mafuta katika kwenye sufuria na washa jiko halafu kaanga mbegu wa cumin.
3) Ongeza vitunguu vilivyo katwakatwa na mchanganyiko wa tangawizi na vitunguu half kaanga mpaka dhahabu kahawia.
4) Baada ya kuongeza kata bamia na wengine wa viungo na koroga vizuri.
5) Pika katika njoto la kati na koroga mara kwa mara.
6) Kujipike mpaka bamia ni kupikawa..
7) Bamia inaweza kuwa aliwahi na chapati au wali

Keria said...

Chakula nikipendacho na Keki ya Jibini.
Ili kupika chakula hiki kuwatosha watu wanane.

Mahitaji:
Kumi na tano- mkate wa mgumu (cracker)
Vijiko vikubwa- siagi
Kombe kimoja- chizi ya creme
Kombe kirobo tatu- maziwa
Manne- mayai
Kombe kimoja- creme ya chungu
Kijiko kikubwa kimoja- ladha ya vanilla
Kombe kirobo- unga

Upikaji:
1. Washa jiko katika mia tatu hamsini madaraja.
2. Katika baskuli, changanya maziwa halafu mayai mara kwa mara. Halafu changanya creme ya chungu, ladha ya vanilla, na unga mpaka laini. Weza mchanganyiko nimo sufuria juu ya ukoko.
4. Pika kwa saa moja. Kuruhusu keki kupoa imo jiko ya masaa masita. Weza keki katika fridge.

Koki said...

FALUDA YA MKATE

Mahitaji
Mayae matatu
Vikombe viwili vya maziwa
Kikombe kimoja cha sukari
Mkate mzima
Fimbo moja ya siagi
Vijiko Viwili vya Vanilla

Upijaki
Piga mayae katika bakuli
Ongeza maziwa, sukari, vanilla, na siagi laini katika bakuli na mayae
Changanya mpaka mchanganyiko linakuwa laini
Papua mkate mpaka linakuwa vipande vidogo
Enea siagi mwenye sufuria
Weka mkate katika sufuria
Dudua mchanganyiko katika mkate
Changanya mpaka mkate mwote linakuwa mvua sana
Oka mkate katika digrii 350 kwa saa moja
Basi

Unknown said...

Unshakable Nouri Hongera

Unknown said...

Hongera

Wangari Kariuki said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...

Vyema

Unknown said...

Endelea

Unknown said...

Hongera

Anonymous said...

Huo ni insha mzuri sana๐Ÿ‘๐Ÿ’—๐Ÿ˜€

Anonymous said...

Pls

Anonymous said...

Anonymous said...

mambo


Anonymous said...

Nipependa hii insha

Anonymous said...

Hongera

Anonymous said...

Wewe

Anonymous said...

๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿง๐Ÿ˜“๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค’๐Ÿ‘ป๐Ÿคง๐Ÿคฎ๐Ÿค‘๐Ÿ˜ท๐Ÿค•๐Ÿค ๐ŸŒŸ๐Ÿ‘ฟ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘น๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฟ๐Ÿค ๐Ÿ‘ฟ๐Ÿค ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿค–๐Ÿ‘น๐Ÿ‘ฟ๐Ÿค ๐Ÿ‘ฟ๐Ÿ‘น๐Ÿค–๐Ÿ‘น๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ™Š๐ŸŽ‰๐Ÿ’ข๐ŸŒŸ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž⚖️๐Ÿ“Ÿ๐Ÿ“€๐Ÿ’›♓♐♊♐♊♐๐Ÿ”ด⬜๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฝ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฝ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฝ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฝ๐ŸŽŒ♓๐Ÿ’š

Anonymous said...

Hi

Anonymous said...

Chakula nikipeda

Anonymous said...

Rada ni gani

Anonymous said...

Waa enisaidia sana kunipaa vidokezo

Anonymous said...

Mzuri

Anonymous said...

Sanaaaah

Anonymous said...

Nice one ๐Ÿ‘ thanks

Anonymous said...

Nice one ๐Ÿ‘Œ thanks

Anonymous said...

Nice l. Thank you for giving me points ☺️

Anonymous said...

Good luck

Anonymous said...

Senate sana lies kunipa alarms za insha guy

Anonymous said...

Rozariakerubo A at G mail.come

Anonymous said...

I think it will help me out with my Insha

Anonymous said...

My name is Skylar brown

Anonymous said...

Go for chips please ๐Ÿ™๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ