- Andika ufupisho wa Shida aya ya tatu kwa maneno yako mwenyewe! (Ukurasa 1)
- Andika sentensi tano kwa kutumia stative marker.
Majibu yote yawekwe hapa hapa kwenye blogu
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
14 comments:
1) Ni muhimu kupenda mtu ambaye haminiki.
2) Uandikaji wa daktari hausomeki.
3) Filamu "Limitless" inisahaulika.
4) Sura ya na mwili wa mtu unabadilika.
5) Moyo hugawi uvunjika bado.
1) Kitendawili kimekabilika.
1a) Kitendawili hakikabiliki.
2) “Miwizi wale wanaachika” yeye anatueleza.
2a) Baada ya tetemeko la ardhi, sunami ilija na mawimbi hayaachiki!
3) Hawali kwa sababu vyakula havipatiki.
3a) Kama utasoma matokeo mazuri yatapatikana
4) Tunasema kuwa Gators hawagusiki!
4a) Wakati wa kushindwa kwao, tulisema kuwa Gators wamegusika.
5) Ninapenda kitabu kile, kinasomeka sana.
5a) Kitabu kilichoanguka maji, hakisomeki sasa.
1) Mahali hapa hapakailiki, ni hatari sana, ninhama sasa!
2) Mtu Huyu haaminiki
3) Nimevunjika, moyo lakini nimepowa karibu kwa sababu nina marafiki mazuri sana.
4) Watu wengine hawabadaliki hawa kama wanahitaji kuwa tofauti kuwa na furaha
5) Madaktari watakapoandika barua yao hayasomeki.
Sura Ya Tatu
Baada ya Chonya alikuwa ameenda Nyumba ya Mama Upendo na kazi zake 'uboi' (kwa 'shukrani ya punda ni mateke'), yeye na marafikiye waliendeshwa kwa teksi hapo nyumbani ya rafikiye Mlati. Chonya alijibadilisha jina lake, sasa yeye aitwa 'Sefu'. Chonya alifikiri kuwa jina jipya litamsaidia kupatikana hadhi ya wana mji. Sasa, anakaa mtaa wa Manzanese. Mtaa ule waliitoa picha duni ya mahali uchafu—hataki. Majengo yalikaa shagala bagala, lakini vyumba vya kuishi bei chafu. Pia Sefu anaweza kupata vyakula rahisi katika magenge....itaendelea...
1) Maji haya hayanyweki kwa sababu ni machafu sana!
2) Kiti hiki hakikaliki kwa sababu rafiki yangu alikivunja.
3) Ninataka rafiki ambaye ni anapendeka.
4) Kifo changu ni kitu hakifikiriki.
5) Msichana huyu haoleki kwa sababu yeye anataka kuenda shule.
Bugeti ya mwezi yangu:
ushuru- dolla mia mbili sabini na tano
umeme- dolla thelathini au arobaini
chakula- dolla sabini
petroli kwa motokaa- dolla sabini
chakula cha mkahawa- dolla arobaini
vitabu au vitu vingine - dollar thelathini
Nina bugeti ya dolla sitini kila wiki:
Dolla arobaini kununua chakula.
Dolla kumi kulipia petroli kwa motokaa yangu.
Na dolla kuma kuenda katikati na marafiki zangu.
Mimi ni maskini sana.
*** Na dolla KUMI (not kuma!)
Bugeti ya wiki nipo kijijini TZ---1360TZ=1US
Chumba - kodi au ushuru (iliongeza umeme)—12,500 TSH
Chakula cha mchana kila siku—7000 TSH
Kupigia simu uwe 'top up' kadi—1000 TSH
Kila siku yenye kazi ni lazima nilipe kusafiri, au unaweza kwenda kwa miguu...
500 TSH kwa daladala (kila mtu)
3000 TSH kwa pikipiki (kila njia)
*hutaki kulipa teksi, kwa sababu utalipa shilingi mengi kama 10,000TSH!
Jumamosi niende sokoni. Nilinunua vitu mbalimbali kama:
nanasi-500
kahawa-3000
maji-1000
sigara-1800
sukari-kila kilo 1800
nyanya- kila kilo 1000
kabaji-1000
mchicha- 300
maharagwe- kila kilo 1500
baadhi ya vitungu-300
mayai- kila 20
mkate-1800
sabuni ya “kuku”- 800
Kayla
1. Makosa madogo yanasahaulika.
2. Kikombe changu kinajalika kwa sababu hakuna tunda.
3. Ndoto yangu inajaribika.
4. Mbwa wake hasafishiki, ni mchafu sana!
5. Kitanda katika hoteli hakilaliki.
Sura Ya Tatu
Sura ya tatu inakuhusu Chonya kuhumia nyumba ya Mama Upendo kwa sababu alifanya kazi katika nyumba ya Mama Upendo na alikuwa "uboi". Chonya alitaka kufanya kazi na heshima. Halafu alihama na rafiki yake, Fujo katika ujirani mbaya na alibadilika jina lake kwa Sefu. Hakuna barabara, umeme, na maji ya bomba. Kuna pombe, mhuni, na madawa ya mabaya. Kuna ganga ambao wanapika vyakula kwa watu katika ujirani. Vyakula ni rahisi, lakini si vizuri. Halafu baada ya kukaa siku ya kwanza, ni lazima apate kufanya kazi kwa sababu marafika zake hawakununulia Chonya. Chonya hakupenda kazi zote na marafiki zake walikimbia na hawakumwambia. Ni lazima Sefu aliuza vitu vyote ili kuishi na alifanya kazi.
--Kayla
Bugeti yangu ya mwezi:
mia nne themanini dolla kwa kodi
tano dolla kwa umeme
arobaini dolla kwa petroli
mia moja hamsini dolla kwa vyakula
arobaini dolla kwa vitu vyingine
--Kayla
Katika sura ya tatu, Chonya aliondoka nyumba ya Mama Upendo kwa sababu hakutaka kufanya kazi ya "uboi". Anataka kazi ya heshima. Basi Chonya na Fujo alifika Manzese-- mtaa mbaya sana. Mjini wa Manzese kuna madawa, pombe, umalaya, na uchafu. Kwa sababu Chonya mjini sasa, alidhani ni lazima apate jina la mjini kama rafikiye Mlati, au "Fujo". Pia, anataka kuficha asili yake pia. Alibadilika jina yake kwa "Sefu". Chonya na marifikiye Shaibu na Fujo wanaenda kupata chakula chao katika magenge machafu. Alitafuta kazi, lakini hakuipenda. Maisha mjini ni vigumu sana kwa Chonya.
Bugeti----
Bugeti ni nini?
Post a Comment