Friday, November 12, 2010

UNAYAPENDA MADARASA HAYA? KWA NINI?



6 comments:

Kelci D Dennison said...

Sifikirii ninayapenda madarasa haya. Madarasa haya ni kidogo au sina madawati na viti. Ningependa masomo nje, lakini labda si sikuzote.

Masangu Matondo said...

---Madarasa haya ni kidogo au sina madawati na viti.
=================

Why KIDOGO and SINA????

Taylor Gonzalez said...

Sipendi kwamba madarasa haya hayana viti au deski kwa sababu hili linaitatiza shule kwa wanafunzi. Lakini, ninafikiri ingekuwa vizuri na vizima kuwa na darasa nje.

Rachel Velez said...

Nisingependa kusoma madarasani haya kwa sababu hakuna madeski au kompyuta au AC. Hakuna ubao pia, basi mwalimu anaandika wapi? Sifahamu kwa nini watu hao wanaweza kusoma au kustarehe.

Mwalimu wa Kiswahili said...

kusoma madarasani haya...
==================
kusoma KATIKA madarasa haya. When you put the -ni at the end of the noun, it becomes a LOCATIVE and thus you can't use the normal agreement markers.

Anonymous said...

Ndiyo, ninayapenda madarasa haya kwa sababu madarasa yupo nje na ninapenda kuwa nje lakini ningekuwa kuvuta mawazo sana. Ninapenda asili sana! Ninapenda uhai wa sahili kwa sababu watu wanaohai uhai wa sahili, wao wanashukuru vitu vidogo kama maji safi au jamaa wao. Watu wengi wapo Amerika wanachukua kwa nafasi maji safi na jamaa wao. Watu wa Amerika wanajidekeza sana.