Friday, November 12, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
10 comments:
ningekuwa furaha kutoa mtu huyu pesa sana, hata kama hawa hawahitaji pesa
kwa sababu ninafikiri kwamba hii ni cheshi sana
Ninafikiri ninjas ni hatari! Masomo ya karate ingekuwa rahisi, lakini ningekuwa kutoa pesa pia. Ninajua hii si kweli, walakini ndiyo, ina kuchekesha!
Matengenezo: karate iSIngekuwa rahisi
(1) Ningekuwa furaha kutoa mtu huyu pesa sana, hata kama hawa hawahitaji pesa
kwa sababu ninafikiri kwamba hii ni cheshi sana
======================
toa - donate. The proper verb here is -pa (give)
hii ni cheshi sana. Si sahihi. You must use a causative marker i.e. causes to laugh.
i-na-chek-ESH-a sana!
===========================
(2) Ninafikiri ninjas ni hatari! Masomo ya karate ingekuwa rahisi, lakini ningekuwa kutoa pesa pia. Ninajua hii si kweli, walakini ndiyo, ina kuchekesha!
=======================
Masomo ya karate YAngekuwa rahisi...
Kama mtu huyu alikuwa kuambia kweli, ningemsaidia kwa sababu kinga ya mwenyewe ni muhimu. Kama alikuwa kudanganya, ningemtoa pesa kwa kuumba kwake.
Pengine ningesaidia mtu huyu kama alikuwa anaambia kweli! Sifikiri kwamba ninjas walipoka familia yake! Lakini kama anathibiti, nisingesaidia yeye kwa sababu ninjas ni kali sana!!
Kama mtu huyu alikuwa kuambia kweli, ningemsaidia kwa sababu kinga ya mwenyewe ni muhimu. Kama alikuwa kudanganya, ningemtoa pesa kwa kuumba kwake.
================
Kama mtu huyu ANGEKUWA ANASEMA (au angesema) kweli, ningemsaidia. You have to be careful when you use -NGE- just in one part of the sentence.
KAMA ALIKUWA ANADANGANYA, ningempa pesa. TOA is donate! What is kuumba kwake?
Pengine ningesaidia mtu huyu kama alikuwa anaambia kweli! Sifikiri kwamba ninjas walipoka familia yake! Lakini kama anathibiti, nisingesaidia yeye kwa sababu ninjas ni kali sana!!
==================
nisingesaidia yeye. Basic grammar (object markers) ignored here.
ninjas ni kali sana!!. Basic grammar (agreement) ignored
Ningemsaidia mtu lakini sifikiri ni kweli na siwe na pesa kutosha kumpia mtu anayetendea ubaya. Lakini, aningeambia kweli ningemsaidia na ninafikiri mtu ni chesi.
Hapana, nisingemsaidi, mtu huyu anzitaka pesa. Sitaki ninampa pesa zangu kwa sababu nina pesa ndogo na kwa sababu ninawafikiri, ninjas ni halisi.
Whitney McIntosh
Post a Comment