Friday, November 12, 2010

UNAWEZA KUJIUNGA NA WATU HAWA KATIKA KUNYWA POMBE? KAMA JIBU NI HAPANA, KWA NINI?

6 comments:

Kelci D Dennison said...

Ningejaribu kunywa pombe. Haiwezi kuuma, sawa?

Taylor Gonzalez said...

Hapana, siwezi kujiunga na watu kwa sababu sipendi pombe sana na ninafikiri kunywa hiki kungenisababisha kuwa mgonjwa.

Rachel Velez said...

Katika Marekani siwezi kujiunga na watu hawa kwa sababu sina umri wa miaka ishirini na moja. Lakini, kama ningekwenda Afrika, ningependa kujiunga watu hawa!

Mwalimu wa Kiswahili said...

kujiunga watu hawa!
========

Kujiunga na watu hawa!

Anonymous said...

Ndiyo ninaweza kujiunga na watu hawa katika kunywa pombe! Ninafakiri nitakuwa na burudani na nafasi itanikupa nafasi kutumia ustadi wangu wa kiswahili.

Whitney McIntosh said...

Hapana!!!Siwawezi kujiunga na watu.Sikunywi pombe na ninawafikiri ningepa mgonjwa kama kipindupindu. Mamangu ananisomesha togwa fungu ni mbaya sana pia. Kwa hivyo sitakuwa kunywa nao.

Whitney McIntosh