Monday, November 15, 2010

RAIS WA SASA WA TANZANIA NA WANANCHI.

imagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.comimagebam.com

Unazipenda picha hizi? Kwa nini?

8 comments:

Mary-Alison Burger said...

ninazipenda picha hizi, lakini ninafikiri pia kwamba mara nyingi viongozi wengi walikuwa na tabia nzuri lakini tu wanawapoangalia yao. Viongozi husema watafanya vitu vizuri lakini halafu kweli watafanya vitu vibaya.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

wanawapoangalia yao
===============

Unataka kusema nini hapa? Object markers (wa) and -po- (when) don't go together!

Anonymous said...

Ninazipenda picha hizi kwa sababu rais wa Tanzania anawaonyesha wananchi anayewajali wao. Kwa mfano, rais wa Tanzania anawashika watoto wa wananchi na anaipeana mikono ya watu wa wananchi. Lakini, ninakubali na Mary-Alison; mara kwa mara, rais wa Tanzania au rais wa nchi nyingi si kweli kwa watu. Mara kwa mara, wao hutenda kama ni nzuri ili kushinda uchaguzi.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

@ November 27, 2010 1:45 PM. Jina lako ni nani?

...anayewajali wao = how do we say how he cares for them?

...Lakini, ninakubali na Mary-Alison = ninakubaliana na...

...Tanzania au rais wa nchi nyingi si kweli = need plural!

What is hutenda kama ni nzuri?

Rachel Velez said...

Picha hizi zinaonyesha Kikwete (rais ya Tanzania) anawapenda watu wake na anapendwa kwa watu wake. Ninafikiri Kikwete anataka watu wake kuwa na furaha na maisha mazuri. Katika picha watoto na wazima pamoja wanamsifu. Ninataraji ni kweli kwamba yeye ni rais nzuri.

Whitney Mcintosh said...

Ninazipenda picha hizi kwa sababu zinaonyesha Rais wa Tanzania ni mtunza kama Mtanzanian. Rais wa Tanzania hahusu kama pesa zingi, lakini kama nchi upendo. Ninafikiri Rais wa Tanzania ni mtu mzuri sana.

Whitney McIntosh

Mwalimu wa Kiswahili said...

(rais ya Tanzania) = hapana!

anapendwa kwa watu = hapana!

rais nzuri = hapana!
*******************

Mtanzanian = hapana

pesa zingi = hapana! Sipendi makosa ya aina hii.

..lakini kama nchi upendo = ????

John Mwaipopo said...

kazi nzuri mwalimu kwa wanafunzi wako. sikudhani njia hii ya kufundisha kwa kublogu inaweza kusaidia na inavutia. it's not intimidating. ni ya kirafiki zaidi kuliko zile za kawaida darasani ama ofisini.