Friday, November 12, 2010

JIFUNZE SARUFI HII UPYA. UNA MASWALI YO YOTE?

5 comments:

Mary-Alison Burger said...

Ninataka kwamba tulikuwa na hii katika darasani yao. kingetengeneza kusema na kila chote rahisi zaidi

Masangu Matondo said...

Ninataka kwamba tulikuwa na hii katika darasani yao. kingetengeneza kusema na kila chote rahisi zaidi
================

Unataka kusema nini? Pay attention to basic grammar please. What is darasani yao? What is kingetengeneza kusema na kila chote rahisi zaidi?

Rachel Velez said...

Hapana, ninafahamu kila kitu juu ya chati. Pia, chati hii ni nzuri sana na ninaipenda sana sana!!

Anonymous said...

siwe na maswali, asante :)

Whitney McIntosh said...

Mwalimu Rose na Mwalimu Matondo, Wananifunzaje kutumia sarufi.Swalli langu linahusu "present" hasi njeo. Hakuna njeo, kwa nini?

Whitney McIntosh