Thursday, February 12, 2009

CHEMSHABONGO NAMBA TATU - SPRING 2009

(1) Usikilize tena wimbo wa Mtoto Akililia Wembe kutoka you tube aua hapa. Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja kuhusu swali lifuatalo '...mtoto akililia wembe tumpe?" Tumia causative angalau (at least) tano. (alama 20. Ninataka insha ndefu nzuri)

(2) Wewe ukiwa na watoto siku moja, utawapa adhabu gani ili kuwaadabisha? Utawapiga? Kwa nini? Andika jibu refu kuhusu suala hili. (alama 10)

(3) Fanya zoezi la tatu (ukurasa wa 154) katika kitabu chako. Kabla hujajibu swali hili, ni lazima kwanza utembelee hapa. (alama 13)

(4) Je, katika sikukuu hii ya Wapendanao utafanya nini? Andika insha fupi. (alama 10)

MUHIMU: Majibu ya swali la pili ni lazima yawekwe hapa kama maoni (comments). Majibu ya Maswali ya 1, 3 na 4 yaletwe darasani Jumanne ya wiki kesho (17/2/2009)

7 comments:

Anonymous said...

Nikiwa na mtoto siku moja, asipokuwa na adabu halafu nitampiga kwa sababu sitavumilia wasi. Nafikiri mtoto ambaye hana adabu wafadhaisha wazazi wake. Kwa hivyo, mtoto asipofundisha adabu kwa kufuasa wazazi yake kama mfano, hapo ni lazima mzazi ampiga. Lakini, sifikiri kwamba kumpiga mtoto anapokuwa mkubwa ni vizuri kwa sababu “samaki mkunje angali mbichi”.

-Joy

Anonymous said...

Ninataka kuwa na watoto siku moja. Wakifanya vitu vibaya nitawapiga watoto wangu. Adhabu ni lazima fanye katika upendo laikini sifariki ni mbaya kumpiga mtoto ambaye amefanya kitu kibaya. Nisipowarudi watoto wangu hawatakuwa na adabu zuri watakapokuwa wazima. Pia, nisipowarudi dunia au Mungu atawarudi na siitaki. Adhabu ni lazima iwe kali laikini pia watoto waelewe wapenda. Nitawaambia wapenda na nitawauliza walifanya nini. Watakapoelewa wanafanya wabaya na ninawapenda, nitawapiga. Watalia laikini baada nitawakumbatia. Watu wengi wanafariki kuwapiga watoto si kuzuri laikini ninafariki watoto hawaopiga hawajifunza adabu zuri.

Anonymous said...

Sijui. Wazazi wangu hawakunipiga, lakini sikumbuki kufanya vitu vibaya sana. Nisingetaka kuwapiga, na ningependelea kutopigwa. Lakini, wakifanya vitu vibaya sana sana, kama kupiga au kuchoma mtu, ningewapiga kwa sababu ni vizuri zaidi ya kuwa watoto wabaya.

Anonymous said...

Mimi nikiwa na watoto siku moja, nitatumia adhabu kuwafundisha adabu. Ni muhimu kwamba watawaheshimu watu wazima, kama wazazi, walimu, na wazee. Ikiwa kutasaidia kuwafundisha kuogopa, nitawapiga, kwa sababu wazazi wangu walinipiga wakati nilipokuwa mtoto. Nafikiri kwamba ni kuzuri, ikiwa adhabu wanayowapewa watoto ni kwa mapendo, badala ya hasira. Lakini, ninajua kwamba sheria zinabadilika, na sitaki kwenda jela. Kuna jinsi zingine za adhabu pia. Ikiwa watoto hawaogopi, nitaweza kuondoa televisheni, michezo, au wakati wa kucheza na marafiki.
-Kelley

Emusaint said...

Ninafikiri nikiwa na watoto nitafanya kitu ambacho kinatokea kizuri kila wakati. Adabu ni muhimu sana, lakini adhabu inafanana dhambi. Sifikiri watoto wanafahamu kila kitu duniani kwa hivyo wakati wengine watoto wanahitaji kuwa kuambia na wakati wengine watoto wanahitaji kuwa kupiga. Nisipokuwa na watoto hakuna matata, nitakuwa na salaam yangu, na sitakuwa na kupiga watu wo wote. Nilihitaji kuadhabu watu wengi katika jeshi na nilikuwa mzuri sana, lakini watoto ni mbalimbali kupita mwanajeshi.
Hugh

Anonymous said...

Ninafikiri kila mtoto ni mbalimbali sana. Kwa hivyo ni lazima kutumia adhabu tofauti kwa kila mtoto. Suala la adhabu ni kitu ambacho watu wengi hodari wamejadili. Wazazi wangu walitupiga kaka zangu nami, lakini sipendi wazo la kumpiga mtoto wangu siku moja. Mimi na kaka yangu ni mfano mzuri wa watoto tofauti. Wakati sisi tulipokuwa wadogo kaka yangu alikuwa mtoto shupavu sana. Kama walimpiga kakangu kwa sababu alifanya kitu kibaya, alikifanya kitu kibaya zaidi. Lakini hata kama wazazi wangu walisema neno ‘piga’ mimi liliniliza. Watoto ni tofauti na kila mtoto anasikiliza na anaitikia adhabu katika jinsi tofauti. Kwa hivyo ni lazima wazazi wawe ...

Anonymous said...

Nikiwa na watoto (na nitakuwa na watoto!) ninataka watoto wangu wakuwa watu wazuri, kwa hivyo nitawapiga watoto. Nisipopa adhabu, hawajui vizuri na vibaya. Watoto wengine hawasikilizi na kwa hivyo ni lazima upige (lakini kidogo tu!). Ninataka kusema na watoto wangu halafu nitawapiga kama hawasikilizi. Lakini ninafikiri wazazi wengi wanawapiga wagumu watoto wao.