Friday, September 11, 2009

USAFIRI WA HATARI AU?

Watoto hawa ni lazima waende shule na baba ana pikipiki moja tu na hana gari. Je, ungekuwa wewe ungefanya nini?


5 comments:

NikkiD said...

Ninambali na baba huyu. Ningefanya kabisa kama anafanya katika picha hapa.

Nazania kuna sheria nyingi kama si afadhali US. Ingawa salama wakati wa kwenda kwa gari ao pikipiki ni muhimu sana, mara kwa mara, haiwezekane kusikiliza wote. Kwa mfano, watoto wake wanapashwa kwenda shule. Nazania, picha hapa si mara ya kwanza kwamba anawabebesha namna hii. Yaani, kwawe, anatafuta maisha namna hii na anajua gisi ya kuhakikisha kwamba watoto wake wana salama wakati wa kusafiri.

Unknown said...

Ningekuwa yeye, watoto wangu na mimi tungeenda kwa pikipiki katika shule bado kama pikipiki ingekuwa usafirishaji tu. Ningefanya hiki kwa sababu ni lazima watoto wao waende shule. Lakini, ningeweza kupata baiskeli nne, tungeenda shuleni kwa baiskeli. Kwa bahati mbaya, baiskeli ni ghali. Kwa hivyo, tungeenda shuleni kwa pikipiki kama baiskeli nne zisingepatikana. Tungetembea kama shule iko karibu, lakini kama shule iko mbali na nyumba yetu, tungeenda kwa pikipiki. Ningetaka kuenda kwa basi pia, kwa sababu watoto wengi ni salama zaidi katika basi. Lakini, kama pikipiki ingekuwa usafirishaji tu, tungeenda kwa pikipiki.

Unknown said...

Ninaipenda picha hii kwa sababu inaonyesha watu wanatumia mitaji yao. Ningefanya sawa na njia ningekuwa mzazi. Watoto lazima kuende schule na baba yao lazima anawachukue. Angekuja pole pole asingekuwa na shauri na watoto wake.

Andrea

Angela said...

Ningejaribu kupata aina ya usafirishaji tofauti. Ninaelewa pesa ndogo inasababisha matatizo mingi kwa kupata usafirishaji salama, lakini mtu huyu anawahatarisha watoto wake. Ningemwulizia rafiki zangu ikiwa wangenisaidia au ningesafiri kwa basi. Ningesafiri kwa miguu ikiwa lazima. Ninajua kusafiri kwa pikipiki ni rahisi sana, lakini si salama na watu wengi.

Nilipokuwa katika nchi ya Honduras, niliona watu wengi walisafiri usafirishaji sawa picha hii. Watu waliniambia watu wengi wanakufa kwa ajali. Kusafiri kwa pikiki na watu mengi ni hatari sana.

Safina Sims said...

lini nilikuwa mtoto familia yangu walikuwa maskini sana. basi ninafahamu mtu hii. ningefanya vila vitu vya watoto wangu ningekuwa na watoto. ni lazima watoto waende shule. lakini kama baba hakuwa na usafirishaji halafu watoto hawakuwa kufanya sana. familia ni muhimu sana. haidhuru kama watu ni ghali au maskini. baba hii ni nguvu sana kwa sababu ana watoto wingi. ninaatamaza kwa sababu babangu si mtu kama yeye