Friday, September 11, 2009

UNAWAPENDA WALIMU?

Walimu ni watu muhimu sana katika maisha yetu. Wao hutufundisha kusoma, kuandika na kuwa na adabu nzuri. Lakini mara nyingi hawalipwi pesa nyingi, wanadharauliwa na wanafanya kazi katika mazingira magumu sana hasa kule Afrika.

Ungekuwa rais wa Tanzania, ungefanya nini kuwasaidia walimu kama huyu pichani anayemfundisha mtoto mdogo kuandika namba tano?

3 comments:

Unknown said...

Ningekuwa yeye, watoto wangu na mimi tungeenda kwa pikipiki katika shule bado kama pikipiki ingekuwa usafirishaji tu. Ningefanya hiki kwa sababu ni lazima watoto wao waende shule. Lakini, ningeweza kupata baiskeli nne, tungeenda shuleni kwa baiskeli. Kwa bahati mbaya, baiskeli ni ghali. Kwa hivyo, tungeenda shuleni kwa pikipiki kama baiskeli nne zisingepatikana. Tungetembea kama shule iko karibu, lakini kama shule iko mbali na nyumba yetu, tungeenda kwa pikipiki. Ningetaka kuenda kwa basi pia, kwa sababu watoto wengi ni salama zaidi katika basi. Lakini, kama pikipiki ingekuwa usafirishaji tu, tungeenda kwa pikipiki.

Angela said...

Ningejuwa rais wa Tanzania ningewatoa walimu pesa zaidi. Lakini, sijui ikiwa ninaweza kwa sababu sijui ikiwa serikali inakuwa na pesa kwa walimu. Ningeshinikiza serikali kuwatoa pesa na vifaa zaidi. Ningejaribu kuwatoa viti vinigine. Kwa mfano, ningewatoa nyumba huru au faida ya afya. Ningejaribu kuwatoa vifaa vya shule pia. Viti hivi vinawasaidia walimu kwa gharama ya maisha. Vinawasaidia walimu wanawasaidia watoto.

SAFINA said...

ningekuwa mwalimu ningewapenda wanafunzi. ningewafundisha kila kitu juu yaa dunia na kabila chao. ningetumia pesa yangu kununua vitabu vyingi. ningewaendesha shule kila siku kama hawafika shule. ningekumbuka familia wao na shule ni muhimu sana. ninawapenda walimu kwa sababu wanakuwa kufanya kila kitu kizuri. ningekuwa walimu ningeenda serikali na kusema mahitaji yangu. walimu ni watu wazuri.