Friday, September 11, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
2 comments:
Siku tarehe 11/9/2001 nilikuwa katika shule darasani ya kwanza. Mtu alikuja darasa langu na alimwambia profesa yangu kugeuza juu televisheni. Niliona picha ya World Trade Center na ndege. Sijui mashambulio yalifanya ya kigaidi au jengo lilikuwa na watu wengi. Niliona televisheni siku ya yote. Nilikuwa na familia katika jimbo la New York. Nilipofika nyumba, mama yangu aliniambia familia yetu ilikuwa nzuri.
Sijui nini ningefanya kwa sababu sijui habari nyingi za mashambulio. Lakini ningekuwa rais, ningefanya kitu.
nilikuwa kuendesha kwa dadangu na shule. tulitembelea darasani la muziki na kuona televisheni. hatukwimba kwa sababu tulikuwa hofu. hatufahamu. watu wingi walifa. watu wa marekani walihamakisha. nilikumbuka watu wingi katika darasa waliondoka nyumba wao. Lakini mimi na dadangu hatukuwa wasiwasi kwa sababu familia yenu walitoka california. Sikumbuki sana lakini ninajua na mimi si furaha.
Post a Comment