Wauzaji hawa wadogowadogo wanauza nini? Kuna cho chote unachotaka kununua? Andika mazungumzo yako na muuzaji mmoja. Usisahau kuomba kupunguziwa bei.
Thursday, November 6, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
3 comments:
Ningepika nyoma choma na mboga. Unavyopikwa? Nitanunua nyoma choma wa mboga wapi? Ningetengenezea watu wadogo nyoma choma. Ninafikiri ninakula chakula kizuri.
Kila Jumatano mji wa Gainesville wana soko katika Downtown Square. Wakulima na mafundi vienyeji wanauza kitu mbalimbali kama matunda, mboga, vishaufu, maua, na kadhalika. Mara kwa mara, wanamuziki walikuja na wanachezia muziki kwa wanunuzi. Wauzaji wanauza chakula kizuri sana. Kwa mfano, wiki iliyopita nilinunua maua mazuri kwa mamangu na kabichu machungwa pia na bei ilikuwa rahisi sana!
Nani aina samaki ni katika picha hii? Anafanana chuchunge (swordfish). Ninapenda wauzaji wadogo wadogo. Ni wazuri na kwa kawaida unaweza kununua hununui katika masomo makubwa. Kuna pahali penye wauzaji wadogo wadogo katika mji wa Gainesville, lakini hapana kila siku.
Post a Comment