KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
Thursday, November 20, 2008
KANGA KUSHEREHEKEA USHINDI WA OBAMA
Kanga hizi zinasemaje? Umezipenda?
3 comments:
Anonymous
said...
Ninajisikia furaha kwa sababu ninafikiri Barack Obama atakuwa rais nzuri sana na atabadilika nchi yetu na atajaza nchi na upenzi.
Ninaamini kuwa dunia nzima ina furaha juu ya uchaguzi wa Rais Barack Obama kwasababu watu wote duniani wanaamini kuwa yeye ni mtu moja ambaye atabadilisha uchumi ya Marekani.
Kanga hizi ni pengine tu wa watalii. Obama anasema vizuri na msemaji sana na mwanasiasa. Ninafikiri watu wengi duniani wanampenda. Hiki ni muhumi sasa kwa sababu cha globalization. Ningesafiri Afrika ya Mashariki mimi takriban ninainunulia. -Hugh
3 comments:
Ninajisikia furaha kwa sababu ninafikiri Barack Obama atakuwa rais nzuri sana na atabadilika nchi yetu na atajaza nchi na upenzi.
Ninaamini kuwa dunia nzima ina furaha juu ya uchaguzi wa Rais Barack Obama kwasababu watu wote duniani wanaamini kuwa yeye ni mtu moja ambaye atabadilisha uchumi ya Marekani.
Kanga hizi ni pengine tu wa watalii. Obama anasema vizuri na msemaji sana na mwanasiasa. Ninafikiri watu wengi duniani wanampenda. Hiki ni muhumi sasa kwa sababu cha globalization. Ningesafiri Afrika ya Mashariki mimi takriban ninainunulia.
-Hugh
Post a Comment