Saturday, November 8, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
2 comments:
Baada ya uchaguzi, nilitazama kauli ambayo rafiki zangu waliiandika katika Facebook. Mtu mmoja aliandika "Kwa nini watu walimpigia kura mwanamume wa nchi ya Kenya inayemtaka kushinda? Kutakuwa na miaka minne mibaya." Sielewi kitu Kenya inachokitaka ni shauri. Pia, sifikiri kwamba ni vizuri watu wanapoweka tumaini kwa mtu mmoja tu. Ninadhani kwamba Obama anaweza kuifanyia vitu vizuri nchi hii.
-Kelley Williams
Ninafikiri watu duniani wo wote wanafuraha sana Barack Obama alichaguliwa rais kimarekani, ila labda Israel na Al Qaeda. Magazeti duniani yo yote yalionyesha picha ya Obama 5 Novemba 2008. Ninafikiri watu wengine nje ya Marekani walijali zaidi ya uchaguzi wa rais kwa wamarekani wengine. Wamarekani wengine hawapigi kura, kwa sababu wanafikiri kura wao haidhuru. Hisia hizi ni shaka kubwa, kwa sababu hatuwezi kidemokrasia kama watu wote hawapigi kura. Wamarekani wanasema watachukua kidemokrasia wote duniani, lakini hawatumii haki rahisi kwa kimdemokrasia! Kama mmarekani, kupiga kura si haki tu, ni wajibu pia.
Post a Comment