KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
Upo
Dar es salaam au Evanston, Tanzania. Jitambulishe kwa rafiki yako mpya. Hakikisha umetaja
jina lako, unakotoka, unapokaa sasa, shule unayosoma, lugha unazozungumza na
kama unaipenda Tanzania. Zingatia muundo wa vitenzi vya Kiswahili. Kama
utapenda, unaweza kuweka insha yako kama maoni katika blog ya darasa hapa:
KiswahiliMwakaWaPili.Blogspot.Com.
You
are in Dar es salaam or Evanston, Tanzania. Introduce yourself to a new friend. Make sure
to mention your name, where you are from, where you live now, what school you
are attending, what languages you speak and if you like Tanzania. Pay attention
to the structure of the Swahili verb. You can post your essay as a comment at
the class blog here: KiswahiliMwakaWaPili.Blogspot.Com.
Kama ndoto ya Issa inavyoonyesha, watu wengi hufikiri kwamba maisha ya Amerika ni maisha ya raha mustarehe. Sasa rafiki yako mliyekutana naye Afrika anakutaka umsaidie kuja Marekani. Yeye anafikiri kwamba akija Marekani atapata maisha mazuri sana - kazi nzuri, pesa nyingi, magari ghali na raha nyinginezo. Mwandikie barua NDEFU ukimweleza ukweli kuhusu maisha ya Marekani na ungetaka afanye nini.Yeye sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Dar es salaam. Yeye anasomea ualimu.
I. Wahusika wakuu: Andika maelezo mafupi kuhusu wahusika hawa kwa kutumia maneno yako mwenyewe
1. Isaya Yano aka Isa
2. Namasake Madoa aka “Ndiyo Alaa”
3. Mwamba
4. Mzee Zakayo Wekesa
II. Kuna sarufi yo yote ngumu? Ipi?
III. Andika ufupisho wa sura ya kwanza kwa kutumia maneno yako mwenyewe.
SURA YA PILI (Wiki ya 11)
1. Kwa nini Isa yuko msituni?
2. Simulia ndoto ya Amerika ya Isa kwa maneno yako mwenyewe.
3. Je, ndoto hiyo ni ya kweli?
4. Kama ndoto ya Issa inavyoonyesha, watu wengi hufikiri kwamba maisha ya Amerika ni maisha ya raha mustarehe. Sasa rafiki yako mliyekutana naye Afrika anakutaka umsaidie kuja Marekani. Yeye anafikiri kwamba akija Marekani atapata maisha mazuri sana - kazi nzuri, pesa nyingi, magari ghali na raha nyinginezo. Mwandikie barua ukimweleza ukweli kuhusu maisha ya Marekani na ungetaka afanye nini. Yeye sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Dar es salaam. Yeye anasomea ualimu.
5. Andika ufupisho wa sura ya pili kwa maneno yako mwenyewe.
SURA YA TATU (Wiki ya 12)
1. Tunajua ni kwa nini Issa yuko mstuni. Kwa kwa nini Madoa naye yuko mstuni? (uk. 22-23)
2. Eleza jinsi Issa na Madoa wanavyopanga kufika Nairobi.
3. Walipataje pesa za nauli kwenda Nairobi? Walikwenda kwa Mzee Wekesa kufanya nini? (uk. 25-27)
4. Mjadala - wewe una maoni gani kuhusu kuiba? Ni vizuri ama vibaya?
5. Unaweza kuisimulia sura ya tatu nzima kwa rafiki yako? (ufupisho)
6. Kuna sarufi yo yote ngumu katika sura hii?
SURA YA NNE (Wiki ya 13)
1. Katika sura ya nne, Issa na Madoa wanasafiri kwenda wapi? Eleza safari yao kwa ufupi safari yao
2. Eleza mandhari ya Nairobi. Je inafanana na miji ya Marekani.
3. Elezea mandhari ya hoteli ya soko la Burma. Umeipenda hoteli hiyo? Kwa nini?
4. Jina jipya la Madoa ni lipi? Unafikiri ni kwa nini ana jina hilo?
5. Elezea kuhusu Mwamba kwa kirefu. Katika sura ya kwanza mlisema kwamba mnampenda. Je bado mnampenda Mwamba? (uk. 31-35). Unafikiri Mwamba anafanya kazi gani?
6. Mwamba na Madoa walikwenda kufanya kazi gani Buruburu? (uk 34)
7. Ielezee ndoto ya pili ya Madoa (uk.35 )
8. Andika ufupisho wa sura nzima ya nne. Kuna sarufi yo yote ngumu?
SURA YA TANO (Wiki ya 14)
1. Katika sura ya tano, Issa, Mwamba na Madoa wanapelekwa jela. Kwa nini?
2. Jina halisi la Mwamba ni nani?
3. Soma ukurasa wa 40 - 41 na eleza Mwamba hasa ni nani.
4. Madoa anashtakiwa kwa makosa gani? Na Issa je? Soma maelezo ya Issa chini ya ukurasa wa 43 na mwanzo wa ukurasa wa 44.
5. Simulia mambo yanayotokea katika sura ya tano kwa kutumia maneno yako mwenyewe. 6. Kuna sarufi yo yote ngumu?
SURA YA SITA (Wiki ya 15) 1. Nini kinatokea katika sura ya sita? Mwamba yuko wapi? 2. Andika ufupisho wa sura yote. 3. Umeipenda hadithi hii fupi? Kwa nini?
Chakula nikipendacho ni nyama ya n'gombe na mchicha. - Na Robert
Ili kupika chakula hiki kuwatosha watu wawilli, ni lazima kuwa na :
Siagi vijiko viwilli Mchicha poundi robo Chumvi ya kutosha Nyama ya n'gombe paundi moja Viungo vinavyoitwa "Montreal Steak Spice"
Kinavyopikwa: Weka viungo katika nyama
Pika nyama ya n'gombe katika grill kwa dakika kumi au hadi ni nyekundu. (Usikipenda nyama nyekunda, upike kwa muda zaidi)
Baada ya nyama ilipikwa, weka mchicha katika sufuria kubwa. Weka vijiko villi chasiagi katika mchicha . Halafu chumvi. Pika mchicha kwa dakika tano, ukichanganya.
Unga wa mahindi vikombe 1 1/3
unga wa ngano kikombe 2/3
sukari kikombe 1 1/4
vanilla kijiko kimoja
mala nusu kikombe
mayai manne
siagi kikombe 3/4
chumvi kijiko
baking powder nusu kijiko
matunda
Upikaji
1. Changanya unga wa mahindi, unga wa ngano, chumvi, na baking powder.
2. Katika bakuli nyingine, changanya sukari, siagi, mayai, vanilla, na mala.
3. Ongeza mchanganyiko wa sukari na mchanganyiko wa unga, na changanya.
4. Ongeza matunda.
5. Pika dakika hamsini kwa 350 digri.
6. Baada ya kupoa, wape watu wale
Remain in the classroom. Discuss the questions below in two groups. Towards the end of the class, spare about 10 minutes and write your answers as comments on this post. The answers don't have to be too long. I just want to see what you think. Please, write your names.
*****************
Shida Sura ya Nne
Sefu anakutana na Shida katika baa ya Starehe (ukurasa wa 62 aya ya mwisho). Shida alikuwa anafanya kazi gani? Unaipenda kazi yake. Kwa nini? = Jibu swali hili.
Sefu na Shida walisameheana na kuendelea na mapenzi yao. Sasa Jifanye (Now pretend). Kama wewe ungekuwa Sefu ungefanyeje? Ungemsamehe Shida? = Jibu swali hili.
Shida anapata mimba (ukurasa wa 63 aya ya mwisho) na anahamia kwa Sefu (ukurasa wa 64 aya ya pili na kuendelea)
Sefu anaanza kufanya kazi mpya (ukurasa wa 66 aya ya nne …Lala masikini, amka tajiri…. Soma mpaka mwisho wa sura). Ni kazi gani? Unaipenda? = Jibu swali hili.
Andika ufupisho wa sura hii kwa kutumia maneno yako mwenyewe. = Jibu swali hili (kama kuna muda)
Tafuta topic nzuri kuhusu matukio yo yote duniani.
Tafadhali sana tumia MANENO YAKO MWENYEWE !!!!
*******************
Jumatatu - 28/3/2011 = Rachel
Jumatano - 30/3/2011 = Kayla
Ijumaa - 1/4/2011 = Jenny
Jumatatu - 4/4/2011 = Mary- Alison
Links to various Swahili Newspapers and radio stations are available to the right corner of this blog. Click HERE to listen to various news clips from Tanzania TV stations.
The U.S. Embassy in Dar es Salaam would like to remind American citizens that we often note an increase in crime during the holiday season and we believe this to be the case this year.
In our most serious incident so far, an American citizen was robbed last week while she was walking on Ocean Road in Dar es Salaam near the ferry just before noon. She was forced into a vehicle under threat of violence. The victim complied with the robbers' demands and was held for some time before eventually being released without injury.
The Embassy urges you in the strongest possible terms to exercise good personal security practices. Specifically:
- Be exceptionally aware of your surroundings, especially if you are out walking alone. Walk in groups whenever possible and do not walk after dark.
- Don't draw unnecessary attention to yourself by your actions or by carrying valuables.
- Lock all doors - especially at night.
- Be sure your cell phones, and telephones are readily available and in good working order.
- Use your alarm system. Make sure the members of your household know where the alarm panic buttons are and how to use them.
- Be especially cautious while driving as there will be a greater number of drunk drivers on the road during holiday season. Do not drink and drive.
- Please be sure that your most recent contact information is updated on our registry.
Please review your security practices and maintain a high level of vigilance over the coming weeks.
American citizens living or traveling in Tanzania are encouraged to register with the U.S. Embassy through the State Department's smart traveler enrollment program, to obtain updated information on travel and security within Tanzania. Citizens without Internet access may register directly with the nearest U.S. Embassy. By registering, American citizens make it easier for the Embassy to contact them in case of emergency. The Consular Section of the U.S. Embassy in Tanzania can be contacted by telephone at [255] (22) 266-8001 x 4122 and fax at [255] (22) 266-8238. You may also contact the U.S. Embassy in Tanzania via email at drsacs@state.gov. For after hours emergencies, U.S. citizens should call [255] (22) 266-8001.
U.S. citizens may also call the Office of Overseas Citizens Services in the United States for the latest travel information. The Office of Overseas Citizens Services can be reached from 8:00 a.m. until 8:00 p.m. Eastern Daylight Time, Monday through Friday, by calling 1-888-407-4747 from within the U.S. and Canada, or by calling (202) 501-4444 from other
countries.
(II) Harusi ya Mariamu: Ninapenda majibu marefu. Tafadhali usitoe majibu mafupi au ambayo si kamili.
(1) Umeipenda filamu hii? Kwa nini? Filamu ni juu ya nini?
(2) Ni arusi ya aina gani inayoonyeshwa katika filamu hii?
(3) Mariamu alikuwa anaumwa nini? Nini kiini cha ugonjwa wake? Kwa nini madaktari walishindwa kugundua ugonjwa wo wote?
(4) Kuna tofauti zo zote kati ya waganga wa kienyeji na madaktari katika hospitali za kisasa? Je, kuna waganga hapa Marekani? Kama wapo wanatibu magonjwa gani?
(5) Una maoni gani kuhusu waganga wa kienyeji? Unawapenda? Kwa nini?
(5) Tumia maneno haya katika sentensi:
-nakuhakikishia -pona -pasa
II. Andika maana, dalili, kinga na matibabu ya ugonjwa mmoja wa kawaida hapa Marekani.