Mama na mtoto wake mdogo wanatumia chandarua ili kujikinga na mbu
Tuesday, October 20, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
5 comments:
Nilisoma makala leo, katika darasa la anthropologia ya utamaduni. Ilikuwa kuhusu maendeleo nchini kwa Tanzania, na ilisema kwamba wafanyakazi Wamarekani wa huduma hawajua vitu ambavyo nchi inahitaji. Wanatumia fedha kulilipia miradi mikubwa, lakini labda nchi haihitaji miradi mikubwa. Ninafikiri kwamba vyandarua vya mbu ni mfano mzuri. Ni rahisi sana, lakini mara nyingi tunatumia pesa kununua vitu vingine ambavyo havisaidia.
-Kelley
Mimi siogopi Malaria kwa sababu ninakaa Marekani. Lakini ninajisikia furaha watu wanatumia neti ya mbu katika Afrika kwa sababu kuumwa wa mbu ni mbaya. Malari dalili ni homa, kujisikia baridi sana, kuendesha, kutapika, maumivu ya jointi, kukosa hamu ya kula, na kuchoka. Lakini hufi. Unaweza kuzuia kwa kutoka nje usiku na kutumia neti ya mbu.
Mimi siogopi Malaria kwa sababu ninakaa Marekani. Lakini ninajisikia furaha watu wanatumia neti ya mbu katika Afrika kwa sababu kuumwa wa mbu ni mbaya. Malaria dalili ni homa, kujisikia baridi sana, kuendesha, kutapika, maumivu ya jointi, kukosa hamu ya kula, na kuchoka. Lakini hufi. Unaweza kuzuia kwa kutoka nje usiku na kutumia neti ya mbu.
Nilisikia vyankarua vya mbu ni joto. Ni sahihi? Ninaogopa Malaria nitapoenda Afrika ya Mashariki kwa sababu yanaoa watu wingi. Nitaposafiri Afrika, nitatumia chandarua cha mbu! Nitatumia dawa na DDT, pia.
Picha hii ina ni kumbusha maisha yangu nilipokuwa Kenya. Familia yangu walitumia neti ya mbu wakati walipoenda kulala. Pia shuleni walimu walifundisha wanafunzi kuwa ni lazima kutumia neti ya mbu.
Post a Comment